App imekuwa hovyo sana..attachment kama picha haifungui muda mwingine..vululuvululu tu.
 
Labda sababu haikuwa developed in native language. in this case kotlin for android systems.
Means inachukua muda mwingi kufanya simulation hivyo kuwa super slow.

Au simu yako ina processor ndogo.
 
App imekuwa hovyo sana..attachment kama picha haifungui muda mwingine..vululuvululu tu.
Mimi haijawahi fungua attachments.
Notifications shida,

Messages za PM inapangilia hovyo mno.

Imekuja na shida hadi ya kuquote/reply comments [emoji706]

Sijui wamelala usingizi hawa jf ,,inakera mno..hadi naanza kupoteza interest na huu mtandao.
 
Moderator app yangu inamiss vitu vingi hata kuVOTE haikubali kuna nyingine maana haya some attachments haifungui

Nipe.mwongozo pia
Mimi kura nilisema sipigi hadi watakapoipa app option ya vote.
Haiwezekani wabague ,wakati wote ni watumiaji wa jf.

Itaendelea kula kwa watafuta kura kama hawawezi kupaza sauti yao kudai option ya vote kwa watu wa App.


Watu 20 wanakuja niwapigie kura kwa nyakati tofauti...yaani nifanye kazi ya kutumia browser kila nikiombwa kupiga kura!!!siwezi hiyo kazi.
 

Hongera kwa kuliona hilo.
 
App inazingua mda tu na mods waseme Kama Kuna apps nyingine
 
kweli mi huwa nalazimika kutumia PC tena pia inachagua aina ya browser UC browser haikubali kabisa
 
Raha ya simu ni kutumia App, hapa cha msingi tumuamshe Max usingizini hili lipo ndani ya uwezo wake.
Kwa umri wa JF ni AIBU kuwa na app ya kiwango cha chini kama hii. Nina uhakika ikifanyiwa mabadiliko itafanya watumiaji wengi waingie hapa.

Cc: Maxence Melo
 
Nimekuwa member wa JF mda mrefu sasa, nasikitika kwamba pamoja na mabadiliko mengi ya teknolojia JF imeshindwa kubadilika na hasa kwenye App yake.

Kwenye ulimwengu wa social media nilitegemea JF iongoze kwenye mijadala mingi inayoibuka kila siku hapa TZ .

Kufubaa huku hakuvutii wengi kuja hapa, na kunapoteza wengi.
 
Toa eadia zako nini kifanyikeeee.
 
Malalamiko ni mengi
 
Max huwezi kuamini huu uzi mimi ndio nauona leo hapa JF wakati kila siku nimo humu.

Ni kwa nini kwa umuhimu wa uzi huu usiuweke kwenye majukwaa yote na ukawa STICKY?

Mbona kama siku hizi unatuchukulia powa tu?

Ina maana wewe uweke uzi humu halafu reply ziwe chache hivi huoni kuna shida hapo kwamba members wengi hawako aware kuna nini kinaendelea? Ndio maana lawama za App bado zinaendelea.

Unajuwa wewe tangu umeanza kuwa na pesa siku hizi sijui hata kama unapata muda wa kuingia humu, maana pesa zimekukubali mpaka unamwaga mahela kwa members wa JF wanaojuwa kuandika story nzuri. [emoji12][emoji12]
 
JF app ya playstore inamuonekano mzuri kwa upande wangu. Pia rahisi kutumia.
Tatizo lake ni notifications kuchelewa au zisije kabisa, halafu ina like tu haina emotions nyingine
Unasemaje sasa? Bado msimamo wako uko hivyohivyo?
 
Hapana, you can have them both. Ila, soon utaelewa why this change is inevitable 😎
Kiongozi mimi ndio nimeweka hiyo kitu ni full burudani kwakweli, ile app ya play store itabaki tu kama back up tu.

Umeeleweka [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…