Can you say this again?
 
Hii kitu iko vizuri sana, lakini kuupata tena uzi huu imebidi nije kuutafuta kwa kutumia App ya zamani kwenye subscribed topics.

Hii imekaaje? Mnamalizaje changamoto hii?
 
Unasemaje sasa? Bado msimamo wako uko hivyohivyo?
Yes, bado app was the best me. Tatizo kubwa la app ni kutopatika notifications kwa wakati.
Hii kwangu hainipi option ya kulog out hebu nisaidie tafadhali
 
Yes, bado app was the best me. Tatizo kubwa la app ni kutopatika notifications kwa wakati.
Hii kwangu hainipi option ya kulog out hebu nisaidie tafadhali
Hapo juu kwenye alama ya box la msg, next kushoto kuna kichwa cha mtu, click hapo itafunguka profile yako chini kabisa kushoto utaona log out.
 
Wakuu mtu anisaidie namna ya kufunga pm uku kwangu sioni iyo option
 
Hapo juu kwenye alama ya box la msg, next kushoto kuna kichwa cha mtu, click hapo itafunguka profile yako chini kabisa kushoto utaona log out.
Kwangu hiyo kitu imepotea zaidi ya miezi minne sasa

 
Broo melo....siasa za kenya tunashindwa kuzipata indeep kama ilivyo hapa tz, mpaka tuna watabiri wa uhakika wa siasa za tz.....lakini kenya jf haijakita mizizi.....naamini ungekuwa unavuna mpunga mrefu kutoka kenya kwasasa kuna active politics sasahvi huko......hakuna anayereport matukio kwa haraka.

Unao mpango gani kaka kuhusu hilo
 
Ohoooo !!
 
Kama ni hii mbona naitumia kitambo sana kupitia browser ya phoenix?
Hujui kama hujui. Hii mpya inakuja kama webview. tofauti na App ambayo ipo kwenye store.

Ukitaka kujuwa tuliza akili yako, ondowa ujuwaji wakati hujui, soma maelezo ya Max upya.

Kuna watu wengi wanadhani Max ni kama Le Mutuz anavyomiliki blog, Max ni nguli kwenye hii kitu, kwa kifupi Marekani wana Mark Zuckerberg na Tanzania tuna Maxence Melo.

Hawa wote wawili wanapika wenyewe haya mapishi kwa kushirikisha team zao.
 
Angalia hapa kwangu, natumia device ya Android na nimeinstall kwa Google chrome.

Mimi si mtaalamu lakini kwa ushauri wangu wa kilay man ondoa hiyo halafu install upya.

Check kwangu hapa. View attachment 1985858
Asante kwa ushauri. Nilishafanya hivyo haikusaidia, nilitumia chrome pia
 
Asante kwa ushauri. Nilishafanya hivyo haikusaidia, nilitumia chrome pia
Maxence Melo hebu tafadhali tunakuhitaji huku bado kuna ufafanuzi na maelezo yanahitajika kwa wadau, mfano issue ya Demi na mimi binafsi nauliza vipi kuhusu subscribed topics? Tunashindwa kufuatilia thread ambazo tumechangia kupata muendelezo.

Pls wake up brother, umekuwa mzito sana.
 
kusema ukwel hii app ya kuistall kwenye browser ni kama tu browser yenyewe isipokuwa yenyewe inakuwa imeadiwa kweny screen.. kwaiyoa haina radha kwa sisi watumiaji wa app ya play store.
siku max akitoa app ya playstore na tuwe tunatumia iyo browser mm ndo itakuwa mara ya mwsho kutumia jamii forum.
tafadhali bwana max tufanyie update kwenye app yetu ya playstore kwa kufix matatizo yaliopo
 
Umeshaambiwa hapa hawataidevelop tena huelewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…