wanacheza TaarabuUkitaka kuview picha fungua web, yan hawa jamaa wamegoma kabisa kufix tatizo dogo hivi!
Hapo ndo ujue mwafrika ni mwafrika tu, sijui huko ofisini kwao huwa wanafanya nini!
Ndo maana mda mwingi siingii jf Sasa hv
Basi wafunge applicationKila siku tunawaambia tumieni browser
Kuna wengine wanatumia app ya zamani iko good,, asa sijui hii mpya ina shida ganiBasi wafunge application
Tunabadili simu daily brooo ...Wana shida TU jf ht ladha inapunguaKuna wengine wanatumia app ya zamani iko good,, asa sijui hii mpya ina shida gani
π π πππ hapa pia huoni?Mimi kuna wakati sizion emojis za wanareply meseji zangu
Hahaa hapa naona sijajua kwa nini kwa wengine sioniπ π πππ hapa pia huoni?
Mswahili ni mswahili tu... hatuwezi kwenda mbele.. sie tunaanzisha jambo alafu tunaanza rudi nyumaApp yenu picha hazifunguki shida nini?na ni ya muda mrefu
Ova