App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Ila muonekano wake sio mzuri kama wa app wa ile ya kuinstall kutoka Google store.
 
Habarini nyote,

Simu yangu ya Android imepata hitilafu. Sasa kwakuwa uchumi hauko vizuri kuna iPhone 8 plus niliiweka tu ndani ikabidi niichuke iokoe jahazi (si mpenzi wa iPhone). Sasa shida inakuja kila ninapotaka ku install Jamii Forums siipati, msaada tafadhali.

E5F11897-80F4-4EDD-AB09-2D47E274685C.png
 
Sina uhakika ila nadhani watakuwa wameiondoa fanya kuingia website ya jamiiforums kisha install ile ya web ipo vizuri pia
 
Watu mna hela yaani iphone ipo tu ndani unatumia android dah
Kuna watu si wapenzi wa product za apple mfano mimi pia si mpenzi wa apple products maana zipo limited na hazina apps nyingi halafu apps ambazo android napata free kule unanunua .
 
Moderator Kuna shida gani toka Jana nikitaka kulog in mara unaambiwa your account is locked mara thread hazifunguki Yani sifanyi kitu Chochote kwenye app muwe wakweli kama nimeacha kutumia App tujue uku chrome wangine hatukuwezi
 
Fungua browser ya chrome alafu search jamii forum ifungue then click kwenye 3 dots kisha kuna semeu imeandikwa download app.. Gusa hapo.. Utakuwa umeidownload jamii forum PWA
 
habari za humu wana jukwaa leo nimeamua nilete hii kero yangu kwa picha

nimetumia simu zaidi ya 10 za aina tofauti lakini hali ni vile vile

picha inaonyesha juu kuna ujumbe ila ukienda hauukuti

pia ukitaka kufungua picha haikuonyeshi hata ikimaliza kudownload huiona mpaka utoke uende kwenye mafaili ya simu uikute huko,

huwezi weka picha zaidi ya moja kwa wakati mmoja

ki ujumla ili ufarahie kutumia jamii forums ni utumie computer [emoji985]

asante nawasilisha
IMG_20230803_233840.jpg
IMG_20230803_233932.jpg
IMG_20230803_234139.jpg
IMG_20230803_234259.jpg


Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom