Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Alafu upande wa DM muongeze kitufe cha kubonyeza Ili kuhariri andiko la mtu endapo kama Kuna makosa ya kiuandishi.
Mmeweka kitufe Cha ku-Quote tu
Mmeweka kitufe Cha ku-Quote tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanatusoma hapa, basi waboreshe hii app ya zamani. App ya sasahaina mvuto hata kidogo
Ufafanuzi wameutolea wapi?
Badilisha simu
Natumia IPhone nimejaribu kufuata taratibu zote zilizoelezwa ila sasa mbona sijaona navigation key ya back
dohKatika app za kiboya hapo bongo ni Jf na App ya Wema sepetu.Kitu kidogo kama Notifications kimewashinda ndo wataweza hayo makubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika app za kiboya hapo bongo ni Jf na App ya Wema sepetu.Kitu kidogo kama Notifications kimewashinda ndo wataweza hayo makubwa?
Katika app za kiboya hapo bongo ni Jf na App ya Wema sepetu.Kitu kidogo kama Notifications kimewashinda ndo wataweza hayo makubwa?
Wanatupa notifications za mwezi June,Zimeganda hapohapo.Katika app za kiboya hapo bongo ni Jf na App ya Wema sepetu.Kitu kidogo kama Notifications kimewashinda ndo wataweza hayo makubwa?
Wanatupa notifications za mwezi June,Zimeganda hapohapo.
Hiyo ya katikatiJF unatumia ni ipi kati ya hizi mbili?
Ya kushoto ni App, ya kulia ni Plugin
View attachment 2403150
Hiyo ya katikati
Sasa mpendwa hii ni outdated na watu wote wanaolalamika huwa wanaitumia hii, chexk hapo JF wenyewe walishaachana kudevelop hiyo app tangu Nov 2020...
Kuna plugin (app) mpya ambayo ipo kama browser tu, logo yake ni hiyo ipo upande wa kulia...
Jaribu kufuatisha maelekezo ya Maxence Melo hatua kwa hatua, upate updated app na usisumbuke tena...
Sisi hiyo mpya hatuitaki ,
Tunataka watutengenezee hii maana si wote ni wapenzi wa jf browser..Wengine tushazoea JF App.
Walikuwa wanai update sana tu ila sasahivi wameamua tupambane na hali zetu.
Kama vipi waifute kabisa tujue Moja kuwa sisi wa JF App hatutakiwi.
Hii ipo kama browser..Punguza munkari dada mzuri...
Mpya inafunguka kama app tu, unafanya vitu vyote unavyoweza kufanya JF...
Fanya kujaribu kuitumia kwanza...
View attachment 2403267
Hii ipo kama browser..
Wapenzi wa JF App hapo hatukuelewi kabisa.