Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Nielekeze jinsi ya kuweka dark modo kwenye JF natumamia TAPATALK kiongozichukua hii ya kwenye browser.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nielekeze jinsi ya kuweka dark modo kwenye JF natumamia TAPATALK kiongozichukua hii ya kwenye browser.
Mkuu nielekeze namna ya kuweka dark modo kwenye JF ambayo ipo ndani ya TAPATALKApp halina notifications linaboa [emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
Nilijua ni Mimi peke yangu sipati notificationTokea mwezi wa sita tarehe 8 mpaka leo sipati notification, shida Nini? JF app, inashida. Maxence Melo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufafanuzi wameutolea wapi?Binafsi natumia iphone,sasa juzi hapa mods wametoa ufafanuzi jinsi ya ku instill app mpya ya jf ili kuweza kupata notifications.
Sasa akatoa namna ya kuingia browser ili kuipakua upya,mimi kwenye iphone hii browser haipo kuna 'safari'ukiingia safari hii app ya JF ipo ila ukiipakua unakuja kamaa hii hii niliofuta ili nipate mpya ninayotaka.
Nimejaribu kudownglord browser ila browser zinazokuja nimeahindwa tambua ni ipi itakayonipa nachotaka,nimejaribu ku log in kwa kutumia safari ili niipakue hii app mpya ila ile vidoti 3 mod alivyosema ukiviona unai instill havipo kabisa[emoji31][emoji31]
Msaada nifanyeje?
Badilisha simuBinafsi natumia iphone,sasa juzi hapa mods wametoa ufafanuzi jinsi ya ku instill app mpya ya jf ili kuweza kupata notifications.
Sasa akatoa namna ya kuingia browser ili kuipakua upya,mimi kwenye iphone hii browser haipo kuna 'safari'ukiingia safari hii app ya JF ipo ila ukiipakua unakuja kamaa hii hii niliofuta ili nipate mpya ninayotaka.
Nimejaribu kudownglord browser ila browser zinazokuja nimeahindwa tambua ni ipi itakayonipa nachotaka,nimejaribu ku log in kwa kutumia safari ili niipakue hii app mpya ila ile vidoti 3 mod alivyosema ukiviona unai instill havipo kabisa[emoji31][emoji31]
Msaada nifanyeje?
Mimi tangu June 18 sipati notificationsTokea mwezi wa sita tarehe 8 mpaka leo sipati notification, shida Nini? JF app, inashida. Maxence Melo
Sent using Jamii Forums mobile app