Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
😂Sawa dada...
Naona umeamua tu kuwa recalcitrant 😥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Sawa dada...
Naona umeamua tu kuwa recalcitrant 😥
Kama vipi hii jf App tuliyonayo waifute tuBora uwe na App ya porn utapata notification kuliko hizo mpya sijuwi wanaziita Puttin asa ndo nini.
Naelewa hapa natumia kwenye website tu app haipo hata apple store sjajua kama watu wa android wana experience hivoMmmh Hii App ofisi zake zipo hapa mikocheni mbn
Kwnn kwako unatumia kama kawaida?Nina mashaka na hiyo apple yako
Hata mimi nimekutana na hili swala jf app haipatikani app store...sijui Maxence Melo ana mpango gani? Kwakweli mimi si mpenzi wa browser kabisa...na ni vizuri jf wawe na application ni vigumu kuwambia watu jf ilipofikia hakuna application ya ios ...hili ni jambo la aibu ni bora kuicha hata ile ya zamani kuliko kuiondoa kabisa!Habari guys juz nilikua naupdate ios ili sm yang iwe na IOS 16 storage ikawa ndogo nikafuta jamii forum sasa leo na download naambiwa haipo nchini kwang means hii app imezuiwa kutumika Tanzania alie experience hii issue aniambie pia
View attachment 2424065
Ni kweli haipo na haipatikani mimi hili swala limenikuta na nimekereka sana sana na nilijuta kufuta jf app ya zananiNina mashaka na hiyo apple yako
Sisi kwenye Android ipo mkuuNaelewa hapa natumia kwenye website tu app haipo hata apple store sjajua kama watu wa android wana experience hivo
JF unatumia ni ipi kati ya hizi mbili?
Ya kushoto ni App, ya kulia ni Plugin
View attachment 2403150
Mmmh Hii App ofisi zake zipo hapa mikocheni mbn
Hongera sana pia pole Kwa majukumu mm nikijaribu hainyeshi au niifute nipakue upya asanteNaam wakuu,
Kwa mara nyingine tumeona tuboreshe huduma ya JF ili izidi kuwa rahisi kutumia.
Kwa sasa unaweza ku-Install JF App kwa PC au Tablet (iPad zikiwemo) na Simu za Mkononi (Android na iPhones).
FAIDA:
1) Ni rahisi kutumia na haina tofauti yoyote na main site, hakutakuwa na malalamiko tena kuwa kuna kukosa notifications au kushindwa kufanya actions kadhaa
2) Ni rahisi kufunguka kuliko unavyodhania. Installation yake inachukua sekunde moja au pungufu. Haichukui space kwenye simu yako au kifaa chako
3) Ukiwa offline, bado kuna content utakuwa na access nayo kwa urahisi zaidi. Hulazimiki kuwa mtandaoni
4) na mengine mengi
Hatua za kufuata:
Kwa wanaotumia PC:
Tembelea JF kwa kutumia Google Chrome Browser, kisha utaona sehemu kama hii kwenye browser yako:
View attachment 1791283
View attachment 1791292
Kisha bonyeza Install kama inavyoonekana hapa chini:
View attachment 1791284
Utaona tayari unayo App kwenye PC yako. Kuanzia hapo hutokuwa ukilazimika kutembelea tovuti kwa njia ya browsing ya kawaida.
Mfano, mwenye Macbkook ataona icon ya App ya JF ikiwa hivi:
View attachment 1791290
Kwa wanaotumia Android Devices:
Tumia Google Chrome (au native browser ya simu yako):
Bonyeza mistari mitatu iliyo kushoto mwa LOGO ya JamiiForums, utaona kitu kama hiki chini:
View attachment 1791285
View attachment 1791286
Bonyeza INSTALL kisha utaona hivi (itachukua sekunde 1 ku-Install)
View attachment 1791287
Kwa wanaotumia iPhone au iOS devices:
Tumia Safari Browser, bonyeza sehemu hizi zilizozungushiwa na fuata maelekezo kwenye simu... Just add to your device's home screen.
View attachment 1791288
View attachment 1791289
Ukikwama usisite kuuliza, tupo kwa ajili yako.
TAKE NOTE: Siku zijazo (sio karibuni) tutaondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores. Kuna mabadiliko zaidi yanakuja kwenye mwonekano na user experience katika kutumia huduma ya JF.
PS: Kuna watu wanataka kujua kuhusu kupata notifications. Tafadhali enable push notifications kwenye settings na utazipata bila shaka.
Karibuni
Hiyo itakuwa ile fake Bora wameitoa ilituchanganya sanaWahusika tafadhali tuelezeni ni kitu gani kimesababisha mkaiondoa app store, kama ni maboresho ingefaa mkaicha iliyokuwepo kisha mngetoa toleo jipya ambalo tungeupdate tu.
Kwamba ilikuwa fake tena kwa ios?Hiyo itakuwa ile fake Bora wameitoa ilituchanganya sana
USSR