APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

BigThinker

Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
23
Reaction score
4
Habari wazawa !

Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi nijipe fursa ya kuuza wazo la biashara kwenye app niliyoitengeneza mwenyewe kwa lengo la kusaidia watu kurahisia kupata wazo la biashara kwa rahisi na kutoa ajira kwa wenye mawazo ya biashara au watu wenye kufanya tafiti za biashara mbalimbali nao wajiajiri kupitia app.

APP haitajihurisha moja kwa moja kutoa huduma ya kuuza wazo la biashara la mtu bali APP ipo kutangaza wazo lako kwa watu wenye uhitaji wa wazo la biashara husika. APP itampa mtoa wazo la biashara kuweka tangazo lake kwenye APP kama gulio watu wanashindana bei ya wazo la biashara.

Kwa wale wanaosoma sana vitabu vya biashara kama mimi nadhani tunachuana kwenye APP kwa kutafuta 4 star kutoka kwa wateja wa wazo la biashara walionunua na kuleta mrejesho kwa watu wengine. Ili litaleta hamasa ya kutafuta wazo bora la biashara na kuuza kwa bei kubwa na kubadilisha maisha yako kwa kupata mtaji wa biashara ya ndoto yako.

APP itakupa siku 30 kupost FEATURES ADS(PREMIUM ADS) bure, kwa kutafuta wateja wa wazo la biashara kabla hujaanza kulipia kifurshi cha mwezi kutokana na chagua lako. Malipo yanafanika kwa kutumia credit card(master na visa card) kupitia google pay.

Kupata kadi kwa sasa ni rahisi sana sio hadi ufungue akaunti bank, kama una lain ya VODACOM imeisha, VODACOM wamerahisha sana kwenye ili la credit card(Mastercard), unaweka pesa kutoka kwenye mpesa kwenye mastercard mpesa chap bila makato. Pia unaweza fanya hivi ukiwa na AIRTEL MONEY.

Unaweka pesa yako ambayo unataka kulipia kwenye kifurushi cha mwezi kwenye kadi yako na kulipia, nimeamua kufanya kazi na google kwasababu ya uaminifu na sio matapeli. Google ni kampuni kubwa na inajulikana na watu wote.

Ukishaset kadi yako kwenye google pay inakuwa rahisi mwezi ujao kulipia , kazi kwako ni kuweka pesa kwenye kadi yako ambao unatakiwa kulipa kutokana na kifurushi ulichochangua.

Nadhani kwa APP hii itakusaidia kupata pesa kwa kuuza wazo la biashara , na wazo la biashara kama mtu kalipenda anakutafuta kwa kukupigia simu na mnaonana na kumalizana mwenyewe, APP tena haihusiki.

***************************************************

Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuandaa wazo la biashara pamoja na KAVA la wazo la bishara mfano Education unaweka kava la shule na wanafunzi ili mteja aone uhalisia wa title na kava. Usisahu kuweka namba ya simu kama utatumia kujisajili kwa facebook button. Ukisha jisajili nenda kwenye profile weka namba ya simu ukianza na +255/+254 , ili mteja aweza kukupigia kutoka kwenye tangazo lako.

Unaweza kushare tangazo lako la wazo la biashara kwenye social media ili kupata wateja fasta zaidi na kuona kazi zako zingine kwa wingi zaidi.

"Jeuza uandishi wa wazo la biashara kuwa biashara yako ya kudumu au part time kwa waajiriwa".

APP inaitwa "bango" iko playstore kwa sasa, unaweza ukapakua na kuanza kuweka kazi zako kwenye app. Weka kava la wazo la biashara usisahau.

Ukitaka kujua kifurushi chako kinaisha lini baada ya kujisajil nenda kwenye profile yako utaona. Kama umejisajili leo kifurushi chako kitaisha january 22, 2021.

Kazi kwako...

"Profit is better than wages, if you know that , you will change your life forever"
 
Hawaii kichangiaa Mambo konki kama hayaa...wanaweza kuajiliwaaa...piaa ukiweka story za uchebe kampiga shilole au zari kaja na watoto wake tz ..utawaona wacomment......nice idea....nimelipenda
 
Wajinga ni wengi kuliko waerevu, ndio maana nchi yetu umaskin haukom.
 
nina mipango kama 100 ya idea za biashara kwa mtaji usio zidi laki 5 , na ndani ya miezi mitatu utaweza kulipa robo tatu ya pesa uliyo wekeza kama ulikuwa mkopo tutaftane
 
Unaweza kutafuta app inaitwa "MAKALA YA BIASHARA" ili uone app ya bango.
 
nina mipango kama 100 ya idea za biashara kwa mtaji usio zidi laki 5 , na ndani ya miezi mitatu utaweza kulipa robo tatu ya pesa uliyo wekeza kama ulikuwa mkopo tutaftane
Uza baadhi ili uanzishe biashara ya ndoto yako.
 
Ingia playstore andika storika studio , unapata list ya app zote ikiwepo BANGO.

Screenshot_20201223-131344_Google_Play_Store[1].jpg
 
ungefanya watu watoe mawazo na wachukuwe mawazo bure kwanza kwa miezi sita baada ya hapa ndio unaingiza sera zako za fedha [ to activate ]
 
Fafanua kidogo maana Wazo likiwekwa na mtu akalisoma si ndio ameshalipata tayari???.....sasa atalinunuaje wakati ameshapata ideas???.....
 
Unaweka introduction. Trick ya kufanya hiyo biashara ataipata akinunua wazo la biashara.
 
Habari wazawa !

Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi nijipe fursa ya kuuza wazo la biashara kwenye app niliyoitengeneza mwenyewe kwa lengo la kusaidia watu kurahisia kupata wazo la biashara kwa rahisi na kutoa ajira kwa wenye mawazo ya biashara au watu wenye kufanya tafiti za biashara mbalimbali nao wajiajiri kupitia app.

APP haitajihurisha moja kwa moja kutoa huduma ya kuuza wazo la biashara la mtu bali APP ipo kutangaza wazo lako kwa watu wenye uhitaji wa wazo la biashara husika. APP itampa mtoa wazo la biashara kuweka tangazo lake kwenye APP kama gulio watu wanashindana bei ya wazo la biashara.

Kwa wale wanaosoma sana vitabu vya biashara kama mimi nadhani tunachuana kwenye APP kwa kutafuta 4 star kutoka kwa wateja wa wazo la biashara walionunua na kuleta mrejesho kwa watu wengine. Ili litaleta hamasa ya kutafuta wazo bora la biashara na kuuza kwa bei kubwa na kubadilisha maisha yako kwa kupata mtaji wa biashara ya ndoto yako.

APP itakupa siku 30 kupost FEATURES ADS(PREMIUM ADS) bure, kwa kutafuta wateja wa wazo la biashara kabla hujaanza kulipia kifurshi cha mwezi kutokana na chagua lako. Malipo yanafanika kwa kutumia credit card(master na visa card) kupitia google pay.

Kupata kadi kwa sasa ni rahisi sana sio hadi ufungue akaunti bank, kama una lain ya VODACOM imeisha, VODACOM wamerahisha sana kwenye ili la credit card(Mastercard), unaweka pesa kutoka kwenye mpesa kwenye mastercard mpesa chap bila makato. Pia unaweza fanya hivi ukiwa na AIRTEL MONEY.

Unaweka pesa yako ambayo unataka kulipia kwenye kifurushi cha mwezi kwenye kadi yako na kulipia, nimeamua kufanya kazi na google kwasababu ya uaminifu na sio matapeli. Google ni kampuni kubwa na inajulikana na watu wote.

Ukishaset kadi yako kwenye google pay inakuwa rahisi mwezi ujao kulipia , kazi kwako ni kuweka pesa kwenye kadi yako ambao unatakiwa kulipa kutokana na kifurushi ulichochangua.

Nadhani kwa APP hii itakusaidia kupata pesa kwa kuuza wazo la biashara , na wazo la biashara kama mtu kalipenda anakutafuta kwa kukupigia simu na mnaonana na kumalizana mwenyewe, APP tena haihusiki.

***************************************************

Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuandaa wazo la biashara pamoja na KAVA la wazo la bishara mfano Education unaweka kava la shule na wanafunzi ili mteja aone uhalisia wa title na kava. Usisahu kuweka namba ya simu kama utatumia kujisajili kwa facebook button. Ukisha jisajili nenda kwenye profile weka namba ya simu ukianza na +255/+254 , ili mteja aweza kukupigia kutoka kwenye tangazo lako.

Unaweza kushare tangazo lako la wazo la biashara kwenye social media ili kupata wateja fasta zaidi na kuona kazi zako zingine kwa wingi zaidi.

"Jeuza uandishi wa wazo la biashara kuwa biashara yako ya kudumu au part time kwa waajiriwa".

APP inaitwa "bango" iko playstore kwa sasa, unaweza ukapakua na kuanza kuweka kazi zako kwenye app. Weka kava la wazo la biashara usisahau.

Ukitaka kujua kifurushi chako kinaisha lini baada ya kujisajil nenda kwenye profile yako utaona. Kama umejisajili leo kifurushi chako kitaisha january 22, 2021.

Kazi kwako...

"Profit is better than wages, if you know that , you will change your life forever"
Kutengeneza App kama hii: instasave.net ni kiasi gani?
 
Yani nikiwa na mawazo yangu biz naweka kwenye app yako? Sijaelewa mkuu..
 
Kipi kigumu kwako ni kuweka au kuwa na wazo la biashara. Maana kuweka ni rahisi kuliko kuwa na wazo la biashara.

APP inasaidia kutafuta partnership au kuuza wazo lako la biashara kwa wahitaji. Ingia utaona walioweka ili upate mwanga.
 
Back
Top Bottom