App za bure zinaingizaje hela?

App za bure zinaingizaje hela?

Matangazo
Pia kampuni kubwa kama google, microsoft, facebook wanauza data za mtumiaji kwa makampuni mengine, namna unavyotumia app zao, wanapata taarifa zako nyingi wanajua unapendelea nini, chakula gani, gari gani, kwa hiyo utakutana na matangazo yanayohusiana na vitu unapenda, hiyo ndio biashara kubwa kwa sasa.
Actualy hiyo ni uncofirmed news, wakati una sign up kwenye hii mitanda wewe user ndio unatakiwa usome terms and condtions, mfano google huwa wanasema wana collect ili ku improve user experience, lakin at the same time wana collect phone calls, sms, voice,gps. Japokuwa unaweza kuwakatalia, wasi collect hizo information. Watu wengi hawajui
 
Kama app ya bure haina njia yoyote ya ku-monetize basi hiyo haingizi hela hata kama ina mamilioni ya downloads

Kwa app za bure ambazo zinakizi vigezo vya platform husika ya matangazo njia kubwa ya kupata kipato ni matangazoo. Platform kubwa inayotuniwa na wengi ni Admob ya google.

App hutengeneza kipato kutoka platform Kwa namna kama tatu.

1. Cost per click(CPC)-app inaingiza pesa baada ya mtumiaji akibonyeza tangazo lilotokea kwenye app yako

2. CPM(Cost per Mile)- Hapa app inapata pesa Kwa kila watu 1000 wanapukutana na tangazo wakati wakitumia app

Wengine kwenye app za bure wanaweka features zingine za kulipia mfano mzuri ni kwenye magemu hii inaitwa In app purchase

Ukipata pesa kwenye app 65% unachukua wewe zilizobaki zinaenda google, na Apple pia wako hivyo. Matangazo yanalipa vizuri kama watumiaji wengi wanatoka nchi zilizoendelea
 
Wastani wa malipo ukoje...

Na nikitaka kuweka tangazo mfano kwenye android games...Kwa hapa Tanzania naenda wapi?
 
Inaenda mpaka android 8.0, sema sijui kama server bado zipo active mpaka leo. Pengine utahitaji kudownload file manual na ku flash mwenyewe,

Kitu cha muhimu ujue exactly model ya simu, kuna wahuni wana tabia ya kucheza na hizi samsung na kubadili model Inayoonekana kwenye setting/about, itabidi uiingie download mode kupata exactly model halafu tumia hio model kudownload android 8 firmware halafu flash na odin. Utapoteza data.

Alternative jaribu software ya pc smart switch Ama Samsung kies, hizi zote ni za samsung, connect simu kwa usb zitadetect kama kuna update watakupa itaongezeka version.
Kama nataka itangaza hiyo app kwenye android games hapa Tanzania naanzia wapi
 
Nilikuwa na app ya bure niliweka matangazo. Walifika kama active users 5000. Pesa ya matangazo ilifika 40 dollars. Baadaye nikafungiwa sababu contents zilikuwa za kiswahili na wao hawasupporet apps zenye contents za kiswahili. Leo ingekuwa kubwa sana.
 
Developers wengine wantengeneza free apps ili kutengeneza reputation na kuwa noticed kwenye industry, hivyo anaitumia kama kujitangaza hii inamsaidia kupata kazi kwenye makampuni kwa sababu portfolio yake ni nzuri.

Unakuta App haiingizi chochote direct lakini imempa michongo mikubwa sana.
 
Msaada hivi mfano.kma PI ela unapataje mana siamin kma kuna ela mtandaon ya urais kihasi hiki
 
Nilikuwa na app ya bure niliweka matangazo. Walifika kama active users 5000. Pesa ya matangazo ilifika 40 dollars. Baadaye nikafungiwa sababu contents zilikuwa za kiswahili na wao hawasupporet apps zenye contents za kiswahili. Leo ingekuwa kubwa sana.
Na account yako ya playstore ikifungwa?
 
Wastani wa malipo ukoje...

Na nikitaka kuweka tangazo mfano kwenye android games...Kwa hapa Tanzania naenda wapi?
Inaweza ikawa $0.1 na hata kuzidi $10 Kwa CPC au CPM kutokana na Aina ya watumiaji WA app
 
Nilikuwa na app ya bure niliweka matangazo. Walifika kama active users 5000. Pesa ya matangazo ilifika 40 dollars. Baadaye nikafungiwa sababu contents zilikuwa za kiswahili na wao hawasupporet apps zenye contents za kiswahili. Leo ingekuwa kubwa sana.
Sijaelewa...wamefunga sababu..ni Kiswahili? Chief-Mkwawa ?
 
Back
Top Bottom