App za bure zinaingizaje hela?

App za bure zinaingizaje hela?

Nilikuwa na app ya bure niliweka matangazo. Walifika kama active users 5000. Pesa ya matangazo ilifika 40 dollars. Baadaye nikafungiwa sababu contents zilikuwa za kiswahili na wao hawasupporet apps zenye contents za kiswahili. Leo ingekuwa kubwa sana.
Nani waliifunga?
 
Kijana ukitaka mafanikio fungua biashara ya kueleweka cent za Ads haziwezi kubadilisha maisha yako
 
Ni vile waTZ tumelala ila kuna miamba inaishi kwa Admob...Google wanalipa vizuri sana hao 2M downloads au user ni pesa kubwa Mnooo ILA pakuwapata sasa Lazima uwekeze pesa kubwa mnooo...maana TZ hakuna App iliyofika hata 30M JF inamiaka 20+ ila inadownloads 1M tu playstore ni hudhuni...Ukitaka utoboe App yako iwahusu watu wa dunia nzima
 
Hela ya matangazo inahitaji watumiaji wengi wanaolipa i.e watangazaji wanaotaka kuwalenga, watangazaji hawataki kuwalenga watanzania kwa ujumla hawalipi hawanunui vitu na services online. Pia kutengeneza app inayopata mamilioni ya watumiaji sio kazi ndogo na ni gharama kubwa hauwezi kujifananisha tu na Angry Birds, Rovio kampuni inayotengeneza Angry Birds wanatumia mamilioni $ kutengeneza game zao na kuzitangaza ili kuwapata hao watumiaji.

Msione hizi app ni maarufu ukifikiri ni bahati tu, TikTok wanatumia zaidi ya $1 Billion kwa mwaka kuitangaza App yao Facebook tu, hiyo ni 1,000 millions dollars zaidi ya budget ya elimu ya Tanzania nzima.
 
Awapi kina watu Wana download 500k na hakosi $5000 kwa mwezi
Ni vile waTZ tumelala ila kuna miamba inaishi kwa Admob...Google wanalipa vizuri sana hao 2M downloads au user ni pesa kubwa Mnooo ILA pakuwapata sasa Lazima uwekeze pesa kubwa mnooo...maana TZ hakuna App iliyofika hata 30M JF inamiaka 20+ ila inadownloads 1M tu playstore ni hudhuni...Ukitaka utoboe App yako iwahusu watu wa dunia nzima
 
Kijana ukitaka mafanikio fungua biashara ya kueleweka cent za Ads haziwezi kubadilisha maisha yako
Ukitaka kuwa Tajiri levo ya Dunia ubunifu kwenye teknolojia mfano nzuri Ni mabilionea wa Facebook na magemu ya Temple run ☺️
 
Inaenda mpaka android 8.0, sema sijui kama server bado zipo active mpaka leo. Pengine utahitaji kudownload file manual na ku flash mwenyewe,

Kitu cha muhimu ujue exactly model ya simu, kuna wahuni wana tabia ya kucheza na hizi samsung na kubadili model Inayoonekana kwenye setting/about, itabidi uiingie download mode kupata exactly model halafu tumia hio model kudownload android 8 firmware halafu flash na odin. Utapoteza data.

Alternative jaribu software ya pc smart switch Ama Samsung kies, hizi zote ni za samsung, connect simu kwa usb zitadetect kama kuna update watakupa itaongezeka version.
Chief nipatie server hiyo nijaribu Kiongozi wangu.
 
Inategemea na model mkuu, umejaribu hio smart switch/kies?
Nitajaribu hii Mkuu,
Chief siwezi kupata App za version ya simu yangu nitumie kwa muda, Kwa sababu hivi sasa App nyingi hazifanyi kazi tena Mkuu.
 
Nitajaribu hii Mkuu,
Chief siwezi kupata App za version ya simu yangu nitumie kwa muda, Kwa sababu hivi sasa App nyingi hazifanyi kazi tena Mkuu.
Inategemea na apps husika, za offline unadownload version za zamani, ila za online ni kipengele.
 
Back
Top Bottom