App za bure zinaingizaje hela?

Nani waliifunga?
 
Kijana ukitaka mafanikio fungua biashara ya kueleweka cent za Ads haziwezi kubadilisha maisha yako
 
Ni vile waTZ tumelala ila kuna miamba inaishi kwa Admob...Google wanalipa vizuri sana hao 2M downloads au user ni pesa kubwa Mnooo ILA pakuwapata sasa Lazima uwekeze pesa kubwa mnooo...maana TZ hakuna App iliyofika hata 30M JF inamiaka 20+ ila inadownloads 1M tu playstore ni hudhuni...Ukitaka utoboe App yako iwahusu watu wa dunia nzima
 
Hela ya matangazo inahitaji watumiaji wengi wanaolipa i.e watangazaji wanaotaka kuwalenga, watangazaji hawataki kuwalenga watanzania kwa ujumla hawalipi hawanunui vitu na services online. Pia kutengeneza app inayopata mamilioni ya watumiaji sio kazi ndogo na ni gharama kubwa hauwezi kujifananisha tu na Angry Birds, Rovio kampuni inayotengeneza Angry Birds wanatumia mamilioni $ kutengeneza game zao na kuzitangaza ili kuwapata hao watumiaji.

Msione hizi app ni maarufu ukifikiri ni bahati tu, TikTok wanatumia zaidi ya $1 Billion kwa mwaka kuitangaza App yao Facebook tu, hiyo ni 1,000 millions dollars zaidi ya budget ya elimu ya Tanzania nzima.
 
Awapi kina watu Wana download 500k na hakosi $5000 kwa mwezi
 
Kijana ukitaka mafanikio fungua biashara ya kueleweka cent za Ads haziwezi kubadilisha maisha yako
Ukitaka kuwa Tajiri levo ya Dunia ubunifu kwenye teknolojia mfano nzuri Ni mabilionea wa Facebook na magemu ya Temple run ☺️
 
Chief nipatie server hiyo nijaribu Kiongozi wangu.
 
Inategemea na model mkuu, umejaribu hio smart switch/kies?
Nitajaribu hii Mkuu,
Chief siwezi kupata App za version ya simu yangu nitumie kwa muda, Kwa sababu hivi sasa App nyingi hazifanyi kazi tena Mkuu.
 
Nitajaribu hii Mkuu,
Chief siwezi kupata App za version ya simu yangu nitumie kwa muda, Kwa sababu hivi sasa App nyingi hazifanyi kazi tena Mkuu.
Inategemea na apps husika, za offline unadownload version za zamani, ila za online ni kipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…