Lazima kasema nani? Kazi ya serikali ni kuhakikisha unasoma, unaelimika. Kisha wanakuwekea mazingira ili ufanye mambo kama haya.
Sio kazi ya serikali kukuwezesha. We kama umeshindwa tulia tu. Pambana na hali yako.
Umesoma historia za hayo makampuni ukakuta serikali na waziri blah blah? Watu waliumia, wakapambana. Ukisubiri serikali utasubiri sana mpaka miguu iote kutu.
Kama unaona ni opportunity unaiweza, pambana kuichukua. Kama iko juu ya uwezo, potezea angalia za saizi yako.
Achana na serikali this serikali that.