Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Emekariri habari za ubepari na soko huria kikasuku sana.Lazima kasema nani? Kazi ya serikali ni kuhakikisha unasoma, unaelimika. Kisha wanakuwekea mazingira ili ufanye mambo kama haya.
Sio kazi ya serikali kukuwezesha. We kama umeshindwa tulia tu. Pambana na hali yako.
Umesoma historia za hayo makampuni ukakuta serikali na waziri blah blah? Watu waliumia, wakapambana. Ukisubiri serikali utasubiri sana mpaka miguu iote kutu.
Kama unaona ni opportunity unaiweza, pambana kuichukua. Kama iko juu ya uwezo, potezea angalia za saizi yako.
Achana na serikali this serikali that.
Nilichoelewa mkuu app ni bure, kinacholipiwa ni Account, ni kama Netflix vile, naweza lipia kwenye laptop nikadownload app yao na kuweka user na pass na kuangalia bila kupitia Google.Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30%
Huu mfumo siyo rafiki sana. Unatumia Visa, mastercard nk, mifumo ambayo si rafiki bongo. Bongo mifumo rafiki ya malipo ni kulipa kwa simu.
Sasa naona app ya Mange na Yerricko malipo yao yanafanyika kwa simu na nje ya app. Naomba kujua wamewezaje bila kuingia matatani na google? Au kuna namna ya kukwepa vikwazo?
ila kama app sio native google pay hawahusiki
vile vile wakati una sajili app google kuna form una choose ukijaza app yako ni inapp purchase
Sema Netflix inawezekana kuwa na account moja ukaitumia kwenye kompyuta na kwenye app. Lakini nao na spotify waliingia mgogoro na Google sababu watu waliokuwa wanafanya malipo kupitia app walitakiwa kutumia Google billing system, na Google wachukue 30% yao badala ya kutumia platform za netflix au spotfy kama walivyozoea.Nilichoelewa mkuu app ni bure, kinacholipiwa ni Account, ni kama Netflix vile, naweza lipia kwenye laptop nikadownload app yao na kuweka user na pass na kuangalia bila kupitia Google.
Namba ya Mange kimambe, 0002342w000009876567890987654321111124323 Nyoko Marekani.Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30%
Huu mfumo siyo rafiki sana. Unatumia Visa, mastercard nk, mifumo ambayo si rafiki bongo. Bongo mifumo rafiki ya malipo ni kulipa kwa simu.
Sasa naona app ya Mange na Yerricko malipo yao yanafanyika kwa simu na nje ya app. Naomba kujua wamewezaje bila kuingia matatani na google? Au kuna namna ya kukwepa vikwazo?
Hahahaa! Sawa sawa. Serikali ifanye mpango wa kutusaidia tupate Platform ya Bongo!Emekariri habari za ubepari na soko huria kikasuku sana.
Yericko Nyerere ni member humu.Namba ya Mange kimambe,
Ya Yeriko Nyerere,
Mgogoro mkubwa ulikuwa ni na Apple, Google anaruhusu at some extent. Mfano ukidownload app toka source nyengine si lazima in App purchase zipitie Kwa Google. Ila Apple alilazimisha hadi zile payment za Kina netflix za web apate Chake.Sema Netflix inawezekana kuwa na account moja ukaitumia kwenye kompyuta na kwenye app. Lakini nao na spotify waliingia mgogoro na Google sababu watu waliokuwa wanafanya malipo kupitia app walitakiwa kutumia Google billing system, na Google wachukue 30% yao badala ya kutumia platform za netflix au spotfy kama walivyozoea.
Nimesikia EU wanaandaa sheria ya kuondoa hili na sheria nyingine zinazolenga kusaidia apps ndogo kushindana na haya makampuni makubwa yanayoleta umonopolyMgogoro mkubwa ulikuwa ni na Apple, Google anaruhusu at some extent. Mfano ukidownload app toka source nyengine si lazima in App purchase zipitie Kwa Google. Ila Apple alilazimisha hadi zile payment za Kina netflix za web apate Chake.
Wameanza ku implement kwenye Nchi kadhaa sema Apple amepata njia ya kubypass, anacharge 27% commission ukitumia 3rd party payment. Developers wameanza Tena kulalamika.Nimesimia EU wanaandaa sheria ya kuondoa hili na sheria nyingine zinazolenga kusaidia apps ndogo kushindana na haya makampuni makubwa yanayoleta umonopoly
Ni zaidi ya million 10 kwa mwezi kwa application ya kawaida kabisa kama hiyo ya yerickoBajeti. Kutengeneza app na kumaintain kwa kampuni inayoeleweka ni ghali sana. Lakini hau Dau Technology naona wanauzoefu mzuri.
wewe unashangaa app ya mange kimambi wakati kuna app zilizoscam mabillion ya $$$ ambazo zilikuwa ziko playstore ila niwe muwazi app ya mange imetengenezwa kishamba sana