Una point nzuri hapo. Siamini kabisa ni vipi a rag-tag militia kama TDF inaweza kusumbua jeshi la Ethiopia namna hii. Kuharibu mambo zaidi, Serikali ya Ethiopia inasaidiwa kupigana vita dhidi ya TDF na serikali ya Eritrea na pia wanasaidiwa na wanajeshi wa majimbo ya Afar na Amhara. TDF haipati msaada (directly) kutoka kwa jeshi lolote ile ila wanawasumbua sana hawa watu. TDF haina airfore ila ENDF ina airforce inayoweza kupiga bomb convoys za TDF ila hawafanyi hivyo. ENDF haitumii airforce yake vizuri.