Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wacha nikuletee video ya sherehe la kitaifa la mwaka uliopita ambalo cobra lilitumika kwa maonyesho.Kwanza nipe ushahidi kwamba Kenya mko na "lethal Helicopters".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha nikuletee video ya sherehe la kitaifa la mwaka uliopita ambalo cobra lilitumika kwa maonyesho.Kwanza nipe ushahidi kwamba Kenya mko na "lethal Helicopters".
Sasa unataka nikuletee contracts za ununuzi? Mimi Mkenya raia wa kawaida nitatoa wapi hizo documents? Wewe nikikuambia uniletee contract ya Tanzania kununua J7 kutoka china utaleta? Haya mikataba hayapo online.Kuonekana sio ushahidi, inawezekana walikodisha kwa ajili ya training, au walishirikiana kufanya mazoezi na majeshi ya nchi zingine.
Unajua kuwepo kwa ushahidi?, ni lazima kuwepo na ushahidi wa manunuzi, au inventory inayoonyesha silaha zinazomilikiwa na KDF, kama tujuavyo kwamba KDF inamiliki F-5 fighter jets na light helicopters, vyote hivi vipo kwenye inventory na vinajulikana lini vilinunuliwa na idadi yake.
Si contract, mbona tunajua kwamba KDF wanazo light helicopters, tunajua idadi yake na lini zilinunuliwa bila kuona contract, ila kuna link inayoonyesha kwamba Kenya ilinunua hivyo vifaa, pia vinaonekana katika inventory ya KDF.Sasa unataka nikuletee contracts za ununuzi? Mimi Mkenya raia wa kawaida nitatoa wapi hizo documents? Wewe nikikuambia uniletee contract ya Tanzania kununua J7 kutoka china utaleta? Haya mikataba hayapo online.
thI like the way you have shut him up.
Wewe uliamini vipi Kenya wana Md-500F ilhali haukuona contract?Si contract, mbona tunajua kwamba KDF wanazo light helicopters, tunajua idadi yake na lini zilinunuliwa bila kuona contract, ila kuna link inayoonyesha kwamba Kenya ilinunua hivyo vifaa, pia vinaonekana katika inventory ya KDF.
Bila kuweka link yenye kuonyesha kwamba KDF imenunua hizo Cobra au bila inventory yenye kuonyesha idadi ya hizo Cobra zinazomilikiwa na KDF, hakuna njia yoyote ya kuaminika zaidi ya kupiga domo tupu.
Sasa tusipingane sana. Umefanya nikaenda youtube kukutafutia video ya cobra. Sasa tafadhali itazame ili tuendelee na mjadala. Usipoitazama basi sitaendelea na huu mjadala maana itakuwa wazi kuwa hauko serious.Kwanza nipe ushahidi kwamba Kenya mko na "lethal Helicopters".
By the way nimemuekea video ya mashujaa day Mombasa last year where cobra was displayed upclose for the first time. Hata nimempea time stamp, nimemuambia aanzie kuwatch from 10:45 minutes. Wacha tuone venye ataruka.th
Wewe uliamini vipi Kenya wana Md-500F ilhali haukuona contract?
Tumekuletea video, picha, records za foreign defense reports...
Kama unataka contract leta za TPDF za J-7 kwanza.... hizo J7 hata picha hatujawahi kuona ...labda Magufuli ameleta kwa mda ili aonyeshe watu kwenye sherehe.
hapa tunatumia...
1.Defense Reports of international arms movements
2.Picha za ngege na nambari na insiginia za jeshi la nchi
3.Video...
Vitu viwili tu ndio ushahidi unaokubalika kwamba Kenya mpo na CobraSasa tusipingane sana. Umefanya nikaenda youtube kukutafutia video ya cobra. Sasa tafadhali itazame ili tuendelee na mjadala. Usipoitazama basi sitaendelea na huu mjadala maana itakuwa wazi kuwa hauko serious.
Kwenye hii video maonyesho ya cobra inaanzia dakika 10:45. Dakika kumi na sekunde arubaini na tano
go argue with Magufuli please... i don't engage idiots at your level..Vitu viwili tu ndio ushahidi unaokubalika kwamba Kenya mpo na Cobra
1)Inventory ya KDF
2)Link yenye kuonyesha kwamba KDF ilinunua hizo Cobra.
Hizi video sio ushahidi, ninaweza kukuonyesha JWTZ wakifanya mazoezi ya kivita na jeshi la South Afrika hapa Tanzania, walitumia vifaa vya South Afrika.
Vitu unaitisha hata wewe pia onyesha. Huwezi kuwa unajipiga kifua eti TZ mna J-7 na hujatuletea inventory wala link. Haya masharti yako ukiyafuata mwenyewe utashindwa kuonyesha kwamba TZ inamiliki J-7. Kwa hivyo tukubaliane kwamba kulingana na masharti yako magumu, Kenya haina Cobra na Tanzania haina J-7.Vitu viwili tu ndio ushahidi unaokubalika kwamba Kenya mpo na Cobra
1)Inventory ya KDF
2)Link yenye kuonyesha kwamba KDF ilinunua hizo Cobra.
Hizi video sio ushahidi, ninaweza kukuonyesha JWTZ wakifanya mazoezi ya kivita na jeshi la South Afrika hapa Tanzania, walitumia vifaa vya South Afrika.
Uwezo wa jeshi letu la anga lipo hapa, nimekuambia unapaswa kuweka link au inventory, Mimi ninakuwekea link yenye taarifa zote, ukitaka inventory, pia nitakuwekeaVitu unaitisha hata wewe pia onyesha. Huwezi kuwa unajipiga kifua eti TZ mna J-7 na hujatuletea inventory wala link. Haya masharti yako ukiyafuata mwenyewe utashindwa kuonyesha kwamba TZ inamiliki J-7. Kwa hivyo tukubaliane kwamba kulingana na masharti yako magumu, Kenya haina Cobra na Tanzania haina J-7.
African Aerospace - The rise and rise of Tanzania's Air ForceI agree. If we use his criteria of proof then Tanzania doesn't own J-7.
Sawa. Mimi pia naweka link kama wewe. Wewe hujaweka inventory hata mimi sitaweka inventory. Hii link vulcan alikuwa amekuwekea hapo awali, pengine hukuwa umeiona. Ndio hii hapaUwezo wa jeshi letu la anga lipo hapa, nimekuambia unapaswa kuweka link au inventory, Mimi ninakuwekea link yenye taarifa zote, ukitaka inventory, pia nitakuwekea
African Aerospace - The rise and rise of Tanzania's Air Force
Kdf cobras last weak bombed six villages in the Gedo region within 24hrs .Gedo region is under Ethiopian (sector)Mzee kwani umeingia mitini? Nataka tujadili kama Kenya ina cobra au la. Nikuletee video ya sherehe la kitaifa ambapo ndege ya kivita cobra ilionekana kwa mara ya kwanza?
Ethiopians upto 2018 have not made any significant upgrades they only bought pantasir S1 air defence missiles .Us also donated 2 C 130 Hercules in last year .Hahahaha, all those weapons are almost brand new, every year each country do buy new weapons to update their militaries.
the harbin Z-9W was also involved in that bombing,...Kdf cobras last weak bombed six villages in the Gedo region within 24hrs .Gedo region is under Ethiopian (sector)
This precision attacks are usually intelligence led .I think there is something Ethiopians are trying to hide .
Among Amisom forces only kdf have special mission aircrafts that are used to gather Intel in Somalia
Maybe that's why the Ethiopians are afraid they are always suspicious of Aircrafts flying above them
Ethiopians upto 2018 have not made any significant upgrades they only bought pantasir S1 air defence missiles .Us also donated 2 C 130 Hercules in last year .
Their defence budget has been very small considering they have 200 k + soldiers
only last year did they increase their defence spending due to threat possed by Egypt
True, apparently the airstrikes caught Ethiopians off guard or Ethiopians were afraid of shooting down kdf helos....hahathe harbin Z-9W was also involved in that bombing,...
View attachment 1461018
In somali only Kenya has deployed the Air Units.. no wonder the frustration is leading Ethiopia to shoot passenger/cargo planes...True, apparently the airstrikes caught Ethiopians off guard or Ethiopians were afraid of shooting down kdf helos....haha
What kind of bullet has an entry hole like that?! That shot was from inside the fuselage.Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane
![]()
Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu.
The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting.
Photos shared online show the plane with bullet holes as a result of the shooting.
No fatalities or injuries have been reported from the incidence, with the Somali, Kenyan and Ethiopian governments yet to issue a statement on the same.![]()
The plane, registration number 5Y-VVA, used to be operated by Blue Bird Aviation but it was later sold it to Kenya School of Flying/Aeronav.
Source: Kahawatungu.com
MY TAKE: Is this the same Ethiopia that Kenyans were bragging of being bailed out maize supplies after Tanzania shut down her border?
#Akilizahandshake#
Naona umekua mnyonge ghaflauzuri ni kwamba hata akili yako haikubaliani na ulichoandika.