Katika vita na nchi yenye "Good air defense system" yaani nchi yenye " radar nzuri na surface to air missiles nzuri", helicopter hazina nafasi, haziwezi kutumika kwa sababu ni rais sana kutunguliwa.
Pamoja na hayo yote, bado hakuna ushahidi wowote kwamba KDF wanazo lethal helicopters, hizo Cobra helicopter mnazosema, hakuna ushahidi wowote kwamba ni Mali ya Kenya, hatujui lini zilinunuliwa na wapi.
Kenya mkinunua vifaa vya kijeshi lazima mnatangaza, hadi juzi mlitaka kununua zile helicopter za kunyunyizia dawa mashamba kwa ajili ya kushambulia Alshabaab toka USA na mlitutangazia kabla hata hazijafika, hakuna usiri wowote kwa Kenya, ukiona hakuna taarifa za kutosha ujue hicho kitu hakipo.