Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Ndio maana nikasema kwa watu wasiojielewa Kama wewe ndio utashabikia kwanza mtu mwenyew jobless huwezi kugundua michezo michafu ya wazungu wanayofanya kipindi hiki Cha korona, mi nakushauri bora ukalime kuliko kushinda hapa jf ukipiga kelele na watanzania ikifika mchana ugali unaokula wa Mtanzaia kitunguu Cha Mtanzaia, tomato ya Mtanzaia ndimu iliyowekwa Kwenye mchuzi ya Mtanzaia ukishashiba unaingia tena jf na kuanza kupiga domo eti Magu ana njaa watanzania wavivu , watanzania wapo lezi yani mpaka huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi mpangia mtu na hela zake, km hutaki hela we kaa kimya tu[emoji1787][emoji1787]
Maneno mengi inadhihirisha km unazitamani zile hela ili upewe bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app