Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
If that's fact, kwann hawaisumbui Uganda?Pumba ipo wapi hapo? Kila kitu nimesema hapo ni fact.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If that's fact, kwann hawaisumbui Uganda?Pumba ipo wapi hapo? Kila kitu nimesema hapo ni fact.
Kawaulize waganda ambao sasa hivi wanawa "backshots" huko mpakani Tpdf walichowafanya.Kama vile wakulima was Koroshow hawawezi TPDF
TPDF hajawahi ingia Vita yeyote peke yake hata huko kagera na Komoro, ama unataka nikuharibie siku kwa kukotolea facts 😁😁 jeshi lenu labda wavunje make na wabangua koroshow.Kawaulize waganda ambao sasa hivi wanawa "backshots" huko mpakani Tpdf walichowafanya.
Nenda kawaulizeIf that's fact,kwann hawaisumbui Uganda?
Tatizo ni kuwa Kenya haitaki vita bila sababu. Somalia tulienda kwa sababu Shabab walianza tabia mbaya ya kuteka nyara watalii kwenye pwani ya Kenya. Lakini kulipiza mapigo ya Ethiopia itakuwa ni kama kuwapa permission ya kuanzisha vita. Wao ndio waoga maana kama wanataka vita mbona hawajalianzisha dude moja kwa moja? Naona kama ingekuwa kishujaa zaidi kama wangeingia Kenya na kuanza kutushambulia tuone kama hatungejitetea.Mnapaswa kujibu kwa nguvu zote ili wajue kwamba Kenya sio nchi ya kuchezewa na kujaribiwa, vinginevyo wakigundua kwamba mnawaogopa wataendelea kuwadhalilisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwenye IGAD meetings, Kunyaland na Ethiopia huongea nini? Au mnapeana hadithi za mahaba huku mking'ong'ana halafu mkigeuka ni mwendo wa kudungana visu migongoni!Most of the critical inventory they have cannot be serviced or was destroyed during Ethiopian Eritrian war.
Due to the threat posed by Egypt ilibidi wa upgrade airdefense last year.
They rarely carry out airstrikes in Somalia which tells you bout the state of their airforce. Earlier this year after Wameingia Dolow their convoy was ambushed by Alkebab they suffered heavy casualties but ikabidi wame kanyangia stori .
Kwani IGAD meeting inafanyika kila siku?Kwani kwenye IGAD meetings, Kunyaland na Ethiopia huongea nini? Au mnapeana hadithi za mahaba huku mking'ong'ana halafu mkigeuka ni mwendo wa kudungana visu migongoni!
Believe me soon KDF aicraft will be shot down! BTW mna uhakika gani kwamba hili tukio hawakuwa Ethiopia?Tatizo ni kuwa Kenya haitaki vita bila sababu. Somalia tulienda kwa sababu Shabab walianza tabia mbaya ya kuteka nyara watalii kwenye pwani ya Kenya. Lakini kulipiza mapigo ya Ethiopia itakuwa ni kama kuwapa permission ya kuanzisha vita. Wao ndio waoga maana kama wanataka vita mbona hawajalianzisha dude moja kwa moja? Naona kama ingekuwa kishujaa zaidi kama wangeingia Kenya na kuanza kutushambulia tuone kama hatungejitetea.
Watu humu wanadhani WaKenya ni wanawake tu wanaovaa sketi. Kila nchi kulingana na UN Geneva protocol ina haki ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya adui. Kama vile Uganda waliwashambulia, TZ ilikuwa na haki ya kupigana na UG bila hata kuomba ruhusa kwa UN security council. Hiyo ndio maana Ethiopia hawana ubavu wa kuingia Kenya maana watakuwa wamekiuka sheria za UN na isitoshe Kenya itakuwa na haki ya kulipiza mapigo bila kuomba ruhusa kwa UN security council. Ila sasa hatuna haki ya kulipiza mapigo maana mashambulizi hayajafanyika ndani ya mipaka yetu.
Tatizo ni kuwa Kenya haitaki vita bila sababu. Somalia tulienda kwa sababu Shabab walianza tabia mbaya ya kuteka nyara watalii kwenye pwani ya Kenya. Lakini kulipiza mapigo ya Ethiopia itakuwa ni kama kuwapa permission ya kuanzisha vita. Wao ndio waoga maana kama wanataka vita mbona hawajalianzisha dude moja kwa moja? Naona kama ingekuwa kishujaa zaidi kama wangeingia Kenya na kuanza kutushambulia tuone kama hatungejitetea.
Watu humu wanadhani WaKenya ni wanawake tu wanaovaa sketi. Kila nchi kulingana na UN Geneva protocol ina haki ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya adui. Kama vile Uganda waliwashambulia, TZ ilikuwa na haki ya kupigana na UG bila hata kuomba ruhusa kwa UN security council. Hiyo ndio maana Ethiopia hawana ubavu wa kuingia Kenya maana watakuwa wamekiuka sheria za UN na isitoshe Kenya itakuwa na haki ya kulipiza mapigo bila kuomba ruhusa kwa UN security council. Ila sasa hatuna haki ya kulipiza mapigo maana mashambulizi hayajafanyika ndani ya mipaka yetu.
TPDF hajawahi ingia Vita yeyote peke yake hata huko kagera na Komoro, ama unataka nikuharibie siku kwa kukotolea facts [emoji16][emoji16] jeshi lenu labda wavunje make na wabangua koroshow.
Nimeshakuambia Ethiopia sasa hivi haina appetite ya vita na Kenya. Ethiopia inamuogopa Egypt vibaya sana. Ethiopia inataka kuanza filling of Gerd dam na Egypt ishaipea onyo la wazi tu kuwa wakianza kujaza maji kwenye dam Egypt itatuma ndege za kivita na kulipua hio dam. Kwenye forum za Wahabeshi nimesoma comments zao na wanasema kuwa Ethiopia inapeleka anti aircraft missiles kuprotect Gerd. Sasa hivi Ethiopia haina muda wa kufikiria kuhusu Kenya. Kuanzia July ngoma itaanza kuchezwa kati ya hizi nchi mbili. Kenya haitaki kuingilia fahali wawili wakipigana. Ni kweli hatuna wanajeshi wengi kama wao.Sio lazima muingie Ethiopia, mlipaswa na ninyi kushambulia interests na target za Ethiopia kama ndege, au hata vifaa vya kijeshi vya Ethiopia vilivyomo Somalia, sasa mtaendelea kuuliwa na ndege zenu kushambuliwa na Ethiopia ndani ya Somalia mkiwa hamna la kufanya?
Alshabab kabla ya KDF kuingia Somalia 2011 haikuwa imesababisha kifo cha mkenya yeyote, lakini mliamua kwenda kupigana nao, Ethiopia imeanza kusababisha vifo vingi vya wakenya, hamchukui hatua zozote, huo ni unyonge wa hali ya juu sana.
Kenya haiwezi pigana na Ethiopia itapoteza hiyo vita ndani ya wiki moja. Kumbuka Ethiopia ina 160,000 active troops with 3times military arsenals compare to Kenya with only 30,000 active troops with no Experience at all, apart from being is Somalia "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia has more ground troops , and more tanks i agree... but in the Air we are more armed.. and our equipment is in great shape..Sio lazima muingie Ethiopia, mlipaswa na ninyi kushambulia interests na target za Ethiopia kama ndege, au hata vifaa vya kijeshi vya Ethiopia vilivyomo Somalia, sasa mtaendelea kuuliwa na ndege zenu kushambuliwa na Ethiopia ndani ya Somalia mkiwa hamna la kufanya?
Alshabab kabla ya KDF kuingia Somalia 2011 haikuwa imesababisha kifo cha mkenya yeyote, lakini mliamua kwenda kupigana nao, Ethiopia imeanza kusababisha vifo vingi vya wakenya, hamchukui hatua zozote, huo ni unyonge wa hali ya juu sana.
Kenya haiwezi pigana na Ethiopia itapoteza hiyo vita ndani ya wiki moja. Kumbuka Ethiopia ina 160,000 active troops with 3times military arsenals compare to Kenya with only 30,000 active troops with no Experience at all, apart from being is Somalia "
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza tumia route nyingine kupeleka chakula Somalia. Kumbuka sisi tunapeleka msaada huko Somalia. Yaani tunasaidia hawa watu. Badala ya kuanza vita, afadhali route mbadala utumike kufikisha chakula huko kwa wanaoumia kwa njaa.Sio lazima muingie Ethiopia, mlipaswa na ninyi kushambulia interests na target za Ethiopia kama ndege, au hata vifaa vya kijeshi vya Ethiopia vilivyomo Somalia, sasa mtaendelea kuuliwa na ndege zenu kushambuliwa na Ethiopia ndani ya Somalia mkiwa hamna la kufanya?
Alshabab kabla ya KDF kuingia Somalia 2011 haikuwa imesababisha kifo cha mkenya yeyote, lakini mliamua kwenda kupigana nao, Ethiopia imeanza kusababisha vifo vingi vya wakenya, hamchukui hatua zozote, huo ni unyonge wa hali ya juu sana.
Kenya haiwezi pigana na Ethiopia itapoteza hiyo vita ndani ya wiki moja. Kumbuka Ethiopia ina 160,000 active troops with 3times military arsenals compare to Kenya with only 30,000 active troops with no Experience at all, apart from being is Somalia "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia walikubali kwamba wao ndio walidungua ndege hio. Kwani huna habari? Ila ni jeshi la Ethiopia ambalo haliko ndani ya Amisom ndio lilifanya upuzi huu. Limeingia Somalia juzi bila idhini ya UN.Believe me soon KDF aicraft will be shot down! BTW mna uhakika gani kwamba hili tukio hawakuwa Ethiopia?
Kenyan military plane crashes in Somalia, rebels say shot down
![]()
nimeuliza what if they have been sabotaging KDF ever since?Ethiopia walikubali kwamba wao ndio walidungua ndege hio. Kwani huna habari? Ila ni jeshi la Ethiopia ambalo haliko ndani ya Amisom ndio lilifanya upuzi huu. Limeingia Somalia juzi bila idhini ya UN.
Kwahiyo mtafanyaje ikiwa Ethiopia itaendelea kudungua ndege zenu na kuwashambulia Mara kwa Mara?Nimeshakuambia Ethiopia sasa hivi haina appetite ya vita na Kenya. Ethiopia inamuogopa Egypt vibaya sana. Ethiopia inataka kuanza filling of Gerd dam na Egypt ishaipea onyo la wazi tu kuwa wakianza kujaza maji kwenye dam Egypt itatuma ndege za kivita na kulipua hio dam. Kwenye forum za Wahabeshi nimesoma comments zao na wanasema kuwa Ethiopia inapeleka anti aircraft missiles kuprotect Gerd. Sasa hivi Ethiopia haina muda wa kufikiria kuhusu Kenya. Kuanzia July ngoma itaanza kuchezwa kati ya hizi nchi mbili. Kenya haitaki kuingilia fahali wawili wakipigana. Ni kweli hatuna wanajeshi wengi kama wao.
Kwahiyo katika hili ni kwamba, Kenya ndio inayokwepa vita na Ethiopia, sio Ethiopia ambayo inaonekana kuzidi kuichokoza Kenya.Tunaweza tumia route nyingine kupeleka chakula Somalia. Kumbuka sisi tunapeleka msaada huko Somalia. Yaani tunasaidia hawa watu. Badala ya kuanza vita, afadhali route mbadala utumike kufikisha chakula huko kwa wanaoumia kwa njaa.
as long as it is not via a flight! A thing Ethiopia wants Kenya to stop ever since as they r controlling the airspace!Kwahiyo katika hili ni kwamba, Kenya ndio inayokwepa vita na Ethiopia, sio Ethiopia ambayo inaonekana kuzidi kuichokoza Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Inawezekana. Pia nakumbuka kuna ile tukio ambalo jeshi la Ethiopia lilitaka kutua katika Kismayu airport na ndege iliyojaa wanajeshi waliojihami. Kdf ambayo inacontrol hio airport ikaikataza hio ndege kutua. Baada ya hapo ndio beef ilianza. Kismayu ni sector ya Kdf sio sector ya Wahabeshi kwa hivyo they had no business trying to land there. Pia ikumbukwe Ethiopia na rais Farmajoo wako pamoja na wanataka kumng'atua Sheikh Madobe rais wa Jubbaland ambaye ni "puppet wa Kenya" kama wenyewe wanavyomuita.nimeuliza what if they have been sabotaging KDF ever since?