Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

Ethiopia has more ground troops , and more tanks i agree... but in the Air we are more armed.. and our equipment is in great shape..
For Ethiopia the numbers we have are from the 90s... we are not sure even how many of their tanks can leave the storage...or even planes can engage another air-force

If you want to estimate their capabilities, look at the way they have been conducting their operations in Somali... shooting down civilians planes is considered the lowest that a military can engage in..
Hahahaha, Ethiopia wanatengeneza vifaa vingi vya kijeshi wao wenyewe, kuanzia Gari za diraya hadi helicopter gun ships.

Ethiopia ina tanks nyingi za kisasa, Artilary nyingi na self propelled missiles za kisasa zaidi ya 300 wakati Kenya hamna hata moja. Kenya can't withstand war with Ethiopia even for one month.
Military: Ethiopia Far Better Than Kenya? Here Are The Facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Inawezekana. Pia nakumbuka kuna ile tukio ambalo jeshi la Ethiopia lilitaka kutua katika Kismayu airport na ndege iliyojaa wanajeshi waliojihami. Kdf ambayo inacontrol hio airport ikaikataza hio ndege kutua. Badhani hapo ndio beef ilianza. Kismayu ni sector ya Kdf sio sector ya Wahabeshi kwa hivyo they had no business trying to land there. Pia ikumbukwe Ethiopia na rais Farmajoo wako pamoja na wanataka kumng'atua Sheikh Madobe rais wa Jubbaland ambaye ni puppet wa Kenya.
At least u have seen the danger and most important u have admited the existence of a conflict btn Ethiopia and Kenya who both happen to be IGAD members! Now ambia KDF wakae chonjo as i see Ethiopia trying to take control of Kismayo! KDF is in a very precarious situation as is at the midst of GoK's reluctance to directly confront Ethiopia's ENDF. I won't be surprised if KDF get massarced in Kismayo by Ethiopian Army as ur government remains hesitant to take action!

And believe me none of EAC members will come to ur help thanks for Kenya's selfish interests in the region that leaves resentments to each of the EAC member. If Uganda or Rwanda or Burundi or Mozambique is to be attacked today, Tanzania will likely intervene but not sure the case will be if Kenya is to attacked. Reason being u r always a provacateur, take example of ur conflict with Somalia on territorial water at the Indian ocean. The other thing is the way u r desperate to dispel negative image on Tanzania even if it is a false accusation ur international policies r really skewed to serve western interests.
 
Kwa wasiokua na akili Kama ninyi hamuwezi kumuelewa , Magu ameona bora awaambie unafiki wao wanaoufanya Kwenye huu ugonjwa wanaugeuza fursa . Haiwezekan mtu unamdai tayar biashara hafanyi na deni anabidi alipe kwa mda maalum halafu una mpa mkopo wa kupambana na corona eli kwa riba ndogo unasema umemsaidia kwa Nchi isiokua na akili Kama Kenya ndio itachekelea mkopo wa aina hii .Magu kawashtukia Kama hawana nia ya kusaidia bali wanaendelea kufanya biashara kupitia huu ugonja Ila ni mipango ya mda mrefu yani kwa baadae ndio unakuja kuona madhara ya hizo pesa .ndio maana akasema Kama wanania kweli kusaidia bc wasamehe kiac Cha maden Kisha Ile pesa badala ya kulipa deni itatumika kupambana na corona Sasa Kama mtu utaona wazo hili baya bc we unamapungufu ya akili na utakua na misimamo ya chadomo sijui chademo vile .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwe mpangia mtu masharti na hela yake, wewe km umeona huna na tayari madeni yake tayari yanakupeleka vibaya we mpe ukwel tu ya kwamba kw sasa hali ni ngumu..

Lkn eti ishu akusamehe madeni uongo[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wakenya naona kila upande wanapata shida, Tanzania, Uganda, Somali, Ethiopia. Awe mpole tu.
 
At least u have seen the danger and most important u have admited the existence of a conflict btn Ethiopia and Kenya who both happen to be IGAD members! Now ambia KDF wakae chonjo, i see Ethiopia trying to take control of Kismayo!
Tatizo kubwa kwa Ethiopia ni kuwa
1) Sheikh Madobe amejihami kabisa. Hatoki bila vita
2) Kenya ambayo imepewa hio sector kisheria na UN haitoki bila vita.
3) UN itaikashifu Ethiopia na kuipiga sanctions kwa kuingia kwa sector ambayo haijapewa ruhusa ya kucontrol. Kumbuka Burundi ina sector yake, Uganda ina sector yake na kadhalika. Huwezi ingia kwa sector ya mwenzako bila kuvunja sheria
4) Wananchi wa Jubbaland ambao wanamsupport Sheikh Madobe pia wanaisupport Kenya. Kdf ina madaktari wengi wanaotibu wagonjwa huko. Kdf imeanzisha clinic na mahospitali huko. Kumbuka kabla ya Kdf kuichukua Jubbaland, eneo hili lilikuwa chini ya Al Shabab na wao walikuwa wanyama sana. Walikataza wasichana kuenda shule, waliuwa watu kiholela. Wananchi wa Jubbaland hawawezi kubali Kenya kuondoka.
 
Tatizo kubwa kwa Ethiopia ni kuwa
1) Sheikh Madobe amejihami kabisa. Hatoki bila vita
2) Kenya ambayo imepewa hio sector kisheria na UN haitoki bila vita.
3) UN itaikashifu Ethiopia na kuipiga sanctions kwa kuingia kwa sector ambayo haijapewa ruhusa ya kucontrol. Kumbuka Burundi ina sector yake, Uganda ina sector yake na kadhalika. Huwezi ingia kwa sector ya mwenzako bila kuvunja sheria
4) Wananchi wa Jubbaland ambao wanamsupport Sheikh Madobe pia wanaisupport Kenya. Kdf ina madaktari wengi wanaotibu wagonjwa huko. Kdf imeanzisha clinic na mahospitali huko. Kumbuka kabla ya Kdf kuichukua Jubbaland, eneo hili lilikuwa chini ya Al Shabab na wao walikuwa wanyama sana. Walikataza wasichana kuenda shule, waliuwa watu kiholela. Wananchi wa Jubbaland hawawezi kubali Kenya kuondoka.
At least u have seen the danger and most important u have admited the existence of a conflict btn Ethiopia and Kenya who both happen to be IGAD members! Now ambia KDF wakae chonjo as i see Ethiopia trying to take control of Kismayo! KDF is in a very precarious situation as is at the midst of GoK's reluctance to directly confront Ethiopia's ENDF. I won't be surprised if KDF get massarced in Kismayo by Ethiopian Army as ur government remains hesitant to take action!

And believe me none of EAC members will come to ur help thanks for Kenya's selfish interests in the region that leaves resentments to each of the EAC member. If Uganda or Rwanda or Burundi or Mozambique is to be attacked today, Tanzania will likely intervene but not sure the case will be if Kenya is to attacked. Reason being u r always a provacateur, take example of ur conflict with Somalia on territorial water at the Indian ocean. The other thing is the way u r desperate to dispel negative image on Tanzania even if it is a false accusation ur international policies r really skewed to serve western interests.
 
Tatizo kubwa kwa Ethiopia ni kuwa
1) Sheikh Madobe amejihami kabisa. Hatoki bila vita
2) Kenya ambayo imepewa hio sector kisheria na UN haitoki bila vita.
3) UN itaikashifu Ethiopia na kuipiga sanctions kwa kuingia kwa sector ambayo haijapewa ruhusa ya kucontrol. Kumbuka Burundi ina sector yake, Uganda ina sector yake na kadhalika. Huwezi ingia kwa sector ya mwenzako bila kuvunja sheria
4) Wananchi wa Jubbaland ambao wanamsupport Sheikh Madobe pia wanaisupport Kenya. Kdf ina madaktari wengi wanaotibu wagonjwa huko. Kdf imeanzisha clinic na mahospitali huko. Kumbuka kabla ya Kdf kuichukua Jubbaland, eneo hili lilikuwa chini ya Al Shabab na wao walikuwa wanyama sana. Walikataza wasichana kuenda shule, waliuwa watu kiholela. Wananchi wa Jubbaland hawawezi kubali Kenya kuondoka.
And u r that coward and expecting to win Ethiopia's army! Just don't try to fight Ethiopia with ur image of a traitor around the region. Imagine until we blocked food and after realizing u can't get replacement from Uganda and Ethiopia then u stopped running ur loud mouth the daily COVID19 release on Tanzania a sovereign country! U r a desparate, sick n sellout mind my friend, unfortunately in a black skin.
 
KDF ndani ya Somalia wapo chini ya AMISOM, kushambulia KDF ni kuishambulia AU, Ethiopia haiwezi shambulia KDF ndani ya Somalia moja kwa moja, lazima kuweko na kisingizio au sababu ya kuwashambulia KDF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahaha!!kwhyo km kdf ni AMISOM inamaanisha nn, si basi hata kenya kw ujumla ipo AMISOM..we akili zako bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo katika hili ni kwamba, Kenya ndio inayokwepa vita na Ethiopia, sio Ethiopia ambayo inaonekana kuzidi kuichokoza Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya haitaki vita na Ethiopia. Ethiopia ina watu zaidi ya milioni mia moja na Gdp yao ni ndogo kushinda yetu ilhali sisi tuna watu milioni arubaini na sita. Kugombana na wazimu utaonekana pia wewe una wazimu. Vita inaharibu uchumi wa nchi. Kama tunaenda vita afadhali tuwe na sababu nzuri ya kukinukisha.
 
Geza Ulole,

Naona bado Magu anang'ang'ana kusamehewa Deni. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa fursa nzuri ya kupambana na Corona, ikumbukwe wazo hili lilitolewa na Rais Magufuli wa Tanzania.
Geza hapana , Magu Hakuwa wa kwanza, lilianzishwa na Economist wengi wa kiafrica na Europe, lilizungumziwa kwenye exonomic forums, kama njia mojawapo muhimu sana , kurudisha uchumu wa nchi za dunia ya 3 na 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya haitaki vita na Ethiopia. Ethiopia ina watu zaidi ya milioni mia moja na Gdp yao ni ndogo kushinda yetu ilhali sisi tuna watu milioni arubaini na sita. Kugombana na wazimu utaonekana pia wewe una wazimu. Vita inaharibu uchumi wa nchi. Kama tunaenda vita afadhali tuwe na sababu nzuri ya kukinukisha.
war is strategy my friend it has nothing to do with GDP it is about right moves! A reason a displined, well organized UPDF is being feared by KDF!
 
Huwezi mpangia mtu na hela zake, km hutaki hela we kaa kimya tu[emoji1787][emoji1787]
Maneno mengi inadhihirisha km unazitamani zile hela ili upewe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona sisi mnatupangia kuwaza!!!yaani nikuonee wivu ukikopa[emoji23][emoji23][emoji23].

we mwanamke sijui una nini???nyie kopeni bana,na yeyote atakayewauliza mwambieni mnao uwezo wa kulipa.

sgr mmeanza kulipa & soon mnamaliza kabisa mchukue mwingine.
 
Kenya haitaki vita na Ethiopia. Ethiopia ina watu zaidi ya milioni mia moja na Gdp yao ni ndogo kushinda yetu ilhali sisi tuna watu milioni arubaini na sita. Kugombana na wazimu utaonekana pia wewe una wazimu. Vita inaharibu uchumi wa nchi. Kama tunaenda vita afadhali tuwe na sababu nzuri ya kukinukisha.
BTW do u know a thing or two about the idea behind the word comradeship? see now ISIS is in Cabo delgado in Mozambique, n who r there to give a help? The armies of frontier states of Angolan, Zimbabwe n Tanzania, they share virtual everything from intelligence to physical presence n even to cordoning of the area where ISS ilitants r! If Kenya was a neighbor of Mozambique u would probably be lobbying with the West trying to look for a chance to annex Mozambique's Cabo Delgado as u r current doing in Somalia!
 
war is strategy my friend it has nothing to do with GDP it is about right moves! A reason a displined, well organized UPDF is being feared by KDF!
Jeshi la Uganda ni hafifu sana. Hamna kitu hapo.
 
mbona sisi mnatupangia kuwaza!!!yaani nikuonee wivu ukikopa[emoji23][emoji23][emoji23].

we mwanamke sijui una nini???nyie kopeni bana,na yeyote atakayewauliza mwambieni mnao uwezo wa kulipa.

sgr mmeanza kulipa & soon mnamaliza kabisa mchukue mwingine.
Naona umeandika kw unyonge kweli[emoji1787][emoji1787]
Msijali, mtasemehewa kw mara nyingine tu[emoji122][emoji122][emoji122]

Nchi inapumulia mashine[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom