Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

mbona wanawachokora na madole? Tatizo nini? Ethiopia anataka Kismayo kama sea gateway kujiweka tayari incase Egypt inalianzisha!
Tatizo pengine ni kuwa hakuna communication kati ya Kenya na majeshi haya ya Ethiopia kama vile Israel na Russia wanafanya huko Syria ili kuzuia majanga kama haya.
 
Hakuna mahali nimesema kuwa Kenya itahusika kupigana katika hio vita. Nimesema vizuri kuwa Ethiopia inahitaji Kenya na Uganda na wewe ukaongeza, great lakes kwa ujumla ili iendelee na majadiliano. Katika majadiliano unahitaji urafiki kutoka kwa majirani zako. Egypt tayari ishapata endorsement kutoka kwa Arab countries ambao wako upande wa Egypt. Mgogoro huu ni mkubwa had US iliingilia kati lakini ikashindwa kuutatua.
Sasa kama Ethiopia yenye kuhitaji kuungwa mkono lakini ndio yenye kuanzisha chokochoko kwa kuzidungua ndege za Kenya, huoni kwamba Ethiopia inaidharau Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la Ethiopia ni kuwachokoza KDF ili wajibu mapigo wapate sababu ya kuwafukuza KDF kutoka ardhi ya Somalia ili wakamate Jubaland na kuirudisha mikononi mwa Farmajoo.

Kenya inajua hawana uwezo wa kuwashinda Ethiopia "militarily', kamwe KDF haiwezi kujibu mapigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia hawezi tegemea Kenya impe backup kwenye swala la mto Nile. Go back to your history books.
 
Lengo la Ethiopia ni kuwachokoza KDF ili wajibu mapigo wapate sababu ya kuwafukuza KDF kutoka ardhi ya Somalia ili wakamate Jubaland na kuirudisha mikononi mwa Farmajoo.

Kenya inajua hawana uwezo wa kuwashinda Ethiopia "militarily', kamwe KDF haiwezi kujibu mapigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wasipige ndege za Kdf , kdf carries out airstrikes in Somalia every now and then. Furthermore kdf denied Ethiopians entry into kismayu since last year si wangekuwa wametushambulia ili wadhibiti kismayu na Jubaland.
 
Sasa kama Ethiopia yenye kuhitaji kuungwa mkono lakini ndio yenye kuanzisha chokochoko kwa kuzidungua ndege za Kenya, huoni kwamba Ethiopia inaidharau Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa ni dharau kutoka Ethiopia au pia inaweza kuwa ni accident kama wanavyojitetea kwamba walidhani ni ndege ya adui. Lakini imefanyika mara mbili kwa hivyo sidhani kama ni accident. Kuna kusudio hapa. Ila Kenya nadhani itabidi aidha iwache kutumia anga hio au ifanye mazungumzo na Ethiopia.
 
Kwanini wasipige ndege za Kdf , kdf carries out airstrikes in Somalia every now and then. Furthermore kdf denied Ethiopians entry into kismayu since last year si wangekuwa wametushambulia ili wadhibiti kismayu na jubaland .
KDF ndani ya Somalia wapo chini ya AMISOM, kushambulia KDF ni kuishambulia AU, Ethiopia haiwezi shambulia KDF ndani ya Somalia moja kwa moja, lazima kuweko na kisingizio au sababu ya kuwashambulia KDF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaweza kuwa ni dharau kutoka Ethiopia au pia inaweza kuwa ni accident kama wanavyojitetea kwamba walidhani ni ndege ya adui. Lakini imefanyika mara mbili kwa hivyo sidhani kama ni accident. Kuna kusudio hapa. Ila Kenya nadhani itabidi aidha iwache kutumia anga hio au ifanye mazungumzo na Ethiopia.
Mnapaswa kujibu kwa nguvu zote ili wajue kwamba Kenya sio nchi ya kuchezewa na kujaribiwa, vinginevyo wakigundua kwamba mnawaogopa wataendelea kuwadhalilisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapaswa kujibu kwa nguvu zote ili wajue kwamba Kenya sio nchi ya kuchezewa na kujaribiwa, vinginevyo wakigundua kwamba mnawaogopa wataendelea kuwadhalilisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu zinapigwa ndege za kiraia anasema zingepigwa za jeshi,kuna haja ya kuendelea kumuelewesha huyo! Inaomekana hata hajui kazi ya jeshi ni kitu gani.
 
Most of the critical inventory they have cannot be serviced or was destroyed during Ethiopian Eritrian war.
Due to the threat posed by Egypt ilibidi wa upgrade airdefense last year.

They rarely carry out airstrikes in Somalia which tells you bout the state of their airforce.
Earlier this year after Wameingia Dolow their convoy was ambushed by Alkebab they suffered heavy casualties but ikabidi wame kanyangia stori.

It's a paper tiger flexing its muscles, as you have said. The numbers they have in their inventory can't be confirmed if they are in serviceable condition. Especially their air force.
 
Back
Top Bottom