Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #181
Yaani bila hata Mmisri kupeleka jeshi kule, Ethiopia inameguka yenyewe!kaka hii Ethiopia mnaikuza sana Ethiopia haina jeshi kubwa km msemavyo.
Hapo Tigray waasi wa Tigray wanaosapotiwa na Eritrea wanawatwanga wanajeshi wa Ethiopia kila leo.
Halafu ukiangalia vifaa vya jeshi wanavyotumia Ethiopia kuwakabili hao waasi ni vifaa duni.
Ethiopia haina kitu.
Eritrea haisupport Tigray. Eritrea inapigana dhidi ya TPLF. Eritrea inasupport serikali kuu ya Ethiopia.kaka hii Ethiopia mnaikuza sana Ethiopia haina jeshi kubwa km msemavyo.
Hapo Tigray waasi wa Tigray wanaosapotiwa na Eritrea wanawatwanga wanajeshi wa Ethiopia kila leo.
Halafu ukiangalia vifaa vya jeshi wanavyotumia Ethiopia kuwakabili hao waasi ni vifaa duni.
Ethiopia haina kitu.
Sawa ila Ethiopia mnai overrate sana mkuu.Eritrea haisupport Tigray. Eritrea inapigana dhidi ya TPLF. Eritrea inasupport serikali kuu ya Ethiopia.
Misri ilisimama na Israel 1973 achana naye usiifanishe Misri na vitu vya kipumbavu mkuu.Yaani bila hata Mmisri kupeleka jeshi kule, Ethiopia inameguka yenyewe!
Mh ila mkuu Eritrea si walikua na mgogoro na Ethiopia mara hii umeisha?Eritrea haisupport Tigray. Eritrea inapigana dhidi ya TPLF. Eritrea inasupport serikali kuu ya Ethiopia.
Una point nzuri hapo. Siamini kabisa ni vipi a rag-tag militia kama TDF inaweza kusumbua jeshi la Ethiopia namna hii. Kuharibu mambo zaidi, Serikali ya Ethiopia inasaidiwa kupigana vita dhidi ya TDF na serikali ya Eritrea na pia wanasaidiwa na wanajeshi wa majimbo ya Afar na Amhara. TDF haipati msaada (directly) kutoka kwa jeshi lolote ile ila wanawasumbua sana hawa watu. TDF haina airfore ila ENDF ina airforce inayoweza kupiga bomb convoys za TDF ila hawafanyi hivyo. ENDF haitumii airforce yake vizuri.Sawa ila Ethiopia mnai overrate sana mkuu.
Waasi wa tigray wanawachakaza sana huko kaskazini kila leo.
Mie naamini Kama Kenya ikaingia full scale war na Ethiopia hata Rwanda Ethiopia ina collapse mapema tuu.
Kwanza jamaa wana fujo km wasomali.
Eritrea walikuwa wanachukiana sana na ule uongozi wa TPLF ulioondoka madarakani. Hata walipigana vita vikali miaka ya 1998/1999. Vita hivyo vilikuwa vinahusu mipaka kati ya Ethiopia na Eritrea. Ila baada ya TPLF kuondoka madarakani na Abiy kuingia madarakani, Abiy alikomesha ugomvi huo kwa kukubali kupatia Eritrea kipande cha ardhi walichokuwa wakigombania. Baada ya hapo, Eritrea imekuwa rafiki wa dhati wa Abiy dhidi ya TPLF.Mh ila mkuu Eritrea si walikua na mgogoro na Ethiopia mara hii umeisha?
Ila niwe mkweli najua sisi Watz na nyie majirani zetu kina Mungiki huwa twakwaruzanaga sana ila kidiplomasia tuko vzuri ila nikiambiwa nisimame na nan kat ya Kenya na Ethiopia naichagua Kenya in all aspects.Una point nzuri hapo. Siamini kabisa ni vipi a rag-tag militia kama TDF inaweza kusumbua jeshi la Ethiopia namna hii. Kuharibu mambo zaidi, Serikali ya Ethiopia inasaidiwa kupigana vita dhidi ya TDF na serikali ya Eritrea na pia wanasaidiwa na wanajeshi wa majimbo ya Afar na Amhara. TDF haipati msaada (directly) kutoka kwa jeshi lolote ile ila wanawasumbua sana hawa watu. TDF haina airfore ila ENDF ina airforce inayoweza kupiga bomb convoys za TDF ila hawafanyi hivyo. ENDF haitumii airforce yake vizuri.