Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Exactly. Hiyo ni miongoni mwa grounds nzuri kabisa za ku appeal.

Hata kama mtu ana wazazi wake wawili walio hai anaweza kukata rufaa kwa kutoa sababu kwamba mzazi anayetegemewa kulipa ada na mahitaji mengine ni mgonjwa na ukaambatanisha na karatasi ya daktari kama uthibitisho inakubalika pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wazazi wagonjwa lakini hospital kutoa ripoti ni kasheshe
 
Nasikia kwenye mfumo wa RITA hakuna certification ya cheti cha talaka ila kuna ya cheti cha kuzaliwa na kifo tu. Na kwa vile wamesema all attachments must be certified by responsible authorities nashindwa kuelewa kama hiyo certification ya cheti cha talaka cha wazazi wake lazima ifanywe na RITA au hata mwanasheria anakubalika?
 
Nakumbuka hata mimi ilikuwa inaniletea majibu kama hayo ila nikajaribu zaidi ya mara nne kisha ikakubali.
 
Wakili tu anafanya hilo zoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu birth certificate nayo tunascan na kuapload au?
Hapo hakuna birth certificate. Ila unatakiwa kujaza verification number ambayo uliitumia wakati wa kuomba mkopo.
Kitendo cha kuingiza verification number utaona jina lako limetokea kuthibitisha kuwa cheti cheti chako ni sahihi.
 
Hapo hakuna birth certificate. Ila unatakiwa kujaza verification number ambayo uliitumia wakati wa kuomba mkopo.
Kitendo cha kuingiza verification number utaona jina lako limetokea kuthibitisha kuwa cheti cheti chako ni sahihi.
well noted mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…