Pamoja mkuu ntaprint na kuijaza keshoHapana, scanned document ni moja tu uliyoisaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuu ntaprint na kuijaza keshoHapana, scanned document ni moja tu uliyoisaini.
Naona watu wanaongelea barua ya mtendaji hpo vipiHapana, scanned document ni moja tu uliyoisaini.
Hakuna barua ya mtendaji inayohitajika kwa sababu huwezi kui upload.Naona watu wanaongelea barua ya mtendaji hpo vipi
Kiufupi ni kwamba, hakuna taarifa zako mpya zinazochukuliwa. Taarifa zako ulizojaza wakati wa kuomba Chuo na mkopo tayari wanazo na ndio hizo wanazozitumia. Kitendo cha wao kukutaka uingize verification number, ni uthibitisho wa kuwa wewe ndiye mhusika. Ndio maana katika hizo page baada ya ku-download utazikuta taarifa zako ulizoombea.Naona watu wanaongelea barua ya mtendaji hpo vipi
Unaweza kuweka barua ya serikali ya mtaa kama supporting letter/document.Kiufupi ni kwamba, hakuna taarifa zako mpya zinazochukuliwa. Taarifa zako ulizojaza wakati wa kuomba Chuo na mkopo tayari wanazo na ndio hizo wanazozitumia. Kitendo cha wao kukutaka uingize verification number, ni uthibitisho wa kuwa wewe ndiye mhusika. Ndio maana katika hizo page baada ya ku-download utazikuta taarifa zako ulizoombea.
Hauhitaji kuongeza kitu kigeni zaidi ya vilivyopo.
AsanteeUnaweza kuweka barua ya serikali ya mtaa kama supporting letter/document.
Kwenye barua ndo utatoa grounds zako za appeal labda uongezewe mkopo kwasababu mzazi ambaye unamtegemea kilipa ada ni mgonjwa wa muda mrefu ama wametalakiana hivi karibuni.
Pia kwenye barua serikali ya mtaa wanaweza ku recommend kwamba usaidiwe kulingana na hali duni ya familia yako ya kutokuwa na uwezo wa kulipa ada.
Hizi grounds huwezi kuziweka kwenye barua yao uliyo download ndo maana wamekwambia unaweza ku attach na barua/document youote kama supporting document kwenye appeal yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanataka ku-attach tena picha kana kwamba haikuwepo awali?Kiufupi ni kwamba, hakuna taarifa zako mpya zinazochukuliwa. Taarifa zako ulizojaza wakati wa kuomba Chuo na mkopo tayari wanazo na ndio hizo wanazozitumia. Kitendo cha wao kukutaka uingize verification number, ni uthibitisho wa kuwa wewe ndiye mhusika. Ndio maana katika hizo page baada ya ku-download utazikuta taarifa zako ulizoombea.
Hauhitaji kuongeza kitu kigeni zaidi ya vilivyopo.
Sawa! Ndio maana hata sahihi yako inahitajika.Mbona wanataka ku-attach tena picha kana kwamba haikuwepo awali?
Aise hili na mimi limenikutaView attachment 2810738
Msaada ndugu zangu, verification imegoma ..
Unaweza kuwa unakosea sehemu ndogo sana. Hakikisha usiache herufi,au alama yoyote iliyopo. Kama ni herufi kubwa iwe hivyo na usiruke nafasi. Wengi pia wanachanganya kati ya o na 0.View attachment 2810738
Msaada ndugu zangu, verification imegoma ..
Ingia account yako ya rita, copy verification number ya cheti chako then pest.View attachment 2810738
Msaada ndugu zangu, verification imegoma ..
Dogo soma maelekezo, unadownload mwishoni kabisa baada ya kukamilisha mchakato wote wa kuapoealWakuu yeyote atakayefanikiwa ku download fomu ya appeal atume humu maana mimi kila niki download inaniandikia download failed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.Unaweza kuweka barua ya serikali ya mtaa kama supporting letter/document.
Kwenye barua ndo utatoa grounds zako za appeal labda uongezewe mkopo kwasababu mzazi ambaye unamtegemea kilipa ada ni mgonjwa wa muda mrefu ama wametalakiana hivi karibuni.
Pia kwenye barua serikali ya mtaa wanaweza ku recommend kwamba usaidiwe kulingana na hali duni ya familia yako ya kutokuwa na uwezo wa kulipa ada.
Hizi grounds huwezi kuziweka kwenye barua yao uliyo download ndo maana wamekwambia unaweza ku attach na barua/document youote kama supporting document kwenye appeal yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi tu usichoke! Ukishaweka ile verification code ya RITA utaona jina kamili la muhusika limetokea kwa chini hapo ujue tayari unaweza kuendelea na hatua nyingine.View attachment 2810738
Msaada ndugu zangu, verification imegoma ..
Verification number unaipatia wapi?Rudi tu usichoke! Ukishaweka ile verification code ya RITA utaona jina kamili la muhusika limetokea kwa chini hapo ujue tayari unaweza kuendelea na hatua nyingine.
Ni ile uliyopatiwa kutoka RITA inayoishia na -BV ipo kwenye akaunti yako ya RITA uliyotumia kutuma cheti cha kuzaliwa ili kithibitishwe.Verification number unaipatia wapi?
Ni ile ile uliyotumia mwanzoni wakati wa kujaza taarifa za kuomba mkopo.Verification number unaipatia wapi?