Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Hivi kuna continuous yeyote kakutana na changamoto akiweka verification number from Rita haileti majina na haikubali kuendelea amesolve vipi hiyo issue na hizi supporting documents mfano barua toka kwa mwenyekiti tunaziattach wapi
 
Naona watu wanaongelea barua ya mtendaji hpo vipi
Kiufupi ni kwamba, hakuna taarifa zako mpya zinazochukuliwa. Taarifa zako ulizojaza wakati wa kuomba Chuo na mkopo tayari wanazo na ndio hizo wanazozitumia. Kitendo cha wao kukutaka uingize verification number, ni uthibitisho wa kuwa wewe ndiye mhusika. Ndio maana katika hizo page baada ya ku-download utazikuta taarifa zako ulizoombea.
Hauhitaji kuongeza kitu kigeni zaidi ya vilivyopo.
 
Unaweza kuweka barua ya serikali ya mtaa kama supporting letter/document.

Kwenye barua ndo utatoa grounds zako za appeal labda uongezewe mkopo kwasababu mzazi ambaye unamtegemea kilipa ada ni mgonjwa wa muda mrefu ama wametalakiana hivi karibuni.

Pia kwenye barua serikali ya mtaa wanaweza ku recommend kwamba usaidiwe kulingana na hali duni ya familia yako ya kutokuwa na uwezo wa kulipa ada.

Hizi grounds huwezi kuziweka kwenye barua yao uliyo download ndo maana wamekwambia unaweza ku attach na barua/document youote kama supporting document kwenye appeal yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asantee
 
Mbona wanataka ku-attach tena picha kana kwamba haikuwepo awali?
 
Capture.JPG

Msaada ndugu zangu, verification imegoma ..
 
Unaweza kuweka barua ya serikali ya mtaa kama supporting letter/document.

Kwenye barua ndo utatoa grounds zako za appeal labda uongezewe mkopo kwasababu mzazi ambaye unamtegemea kilipa ada ni mgonjwa wa muda mrefu ama wametalakiana hivi karibuni.

Pia kwenye barua serikali ya mtaa wanaweza ku recommend kwamba usaidiwe kulingana na hali duni ya familia yako ya kutokuwa na uwezo wa kulipa ada.

Hizi grounds huwezi kuziweka kwenye barua yao uliyo download ndo maana wamekwambia unaweza ku attach na barua/document youote kama supporting document kwenye appeal yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.
 
Back
Top Bottom