Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Maybe you are right. Ila mimi ilimkuta dogo mmoja wakati ana-apply; na alikuwa anatumia PC hivyohivyo. System ilikuwa ina-load kwenye guarantor kwa siku 3 na deadline ilikuwa inakaribia. Ikabidi aende Cafe; ikakubali instantlynatumia compyuta asee ila badoo. na internet ni nzuri tu, na nimetumia responsive browser (chrome). sijui hata natatua vp na mda unaisha tu
si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.Maybe you are right. Ila mimi ilimkuta dogo mmoja wakati ana-apply; na alikuwa anatumia PC hivyohivyo. System ilikuwa ina-load kwenye guarantor kwa siku 3 na deadline ilikuwa inakaribia. Ikabidi aende Cafe; ikakubali instantly
Ooh kumbe, sikuwa najua kama deadline ni leo. Endelea kujaribusi wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
Procrastination ni mbaya. Jambo la muhimu kama hili unalishughulikia mapema na siyo kusubiri siku ya deadline mkuu. Pole na natumaini ulifanikiwa!si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
Uwa nashindwa kujua logic ya kutumia kusoma private schools kwa mwanachuo kama kigezo cha kumnyima mkopo. What if kama kwa sasa mambo yamebadilika na waliokuwa wanamlipia huko nyuma hawana tena uwezo wa kumlipia?Kwann idad ya waliokosa mkopo weng ni ambao wamesoma private schools ? Na serikal iliongeza hela ilimrad kila mtu apate !!
Dirisha la rufaa bado lipo waz hadi leo.si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
Humu wadau walisema majibu yangetoka leo. Kwenye website ya HESLB hawajaweka update yoyote mpya inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa waliokata rufaa.majibu ya rufaa lini yanatoka wazee 🙄
HuzuniHumu wadau walisema majibu yangetoka leo. Kwenye website ya HESLB hawajaweka update yoyote mpya inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa waliokata rufaa.
Wataweka kueni wapoleHumu wadau walisema majibu yangetoka leo. Kwenye website ya HESLB hawajaweka update yoyote mpya inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa waliokata rufaa.
Inasoma tu appeal window inafunguliwa tarehe 8Tembeleeni account zenu mliokata rufaa majibu yameanza kutoka leo.
Pole sana mkuu majibu bado hawajatoa wakitoa utapataInasoma tu appeal window inafunguliwa tarehe 8
November [emoji17]eeh Mungu kukosa tena
SI walisema majibu ya appeals watayatoa leo Alhamis 23/11/2023.Pole sana mkuu majibu bado hawajatoa wakitoa utapata
Sina uhakika na hilo mkuuSI walisema majibu ya appeals watayatoa leo Alhamis 23/11/2023.
Hii ilikua zamani kwa sasa vigezo vyao ni kwa wahitaji..Hivi mtu wa PCB mwenye 2 ya 12 anaweza kupata mkopo?
Mchakato unakua mgumu kivipi?Vipi wadau,,kwa wale walio appeal vipi majibu huko maana naona mchakato unakua mgumu tuh,,?