Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?

Huyu ni Authorised dealer wa Tz, ukiwa na swali karibu inbox.

Nakusaidia kukupata details, hapo ni quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
View attachment 2407603

Of course Elite computers hawa wahindi toka kitambo ni authorized dealers wa apple

Premium authorised resellers bongo wapo kama watano ivi

Apple store tanzania mlimani citty

View attachment 2507884
Ukisearch dealers wa Apple hapa Tanzania hayupo , hao wote ni walanguzi tuu, nenda website ya Apple kwenye kusearch dealers , ukiandika Tanzania , hamna results yyte.. nearest Dubai ndo wapo wengi
 
Ukisearch Dar es salaam wanaonesha Istore Mlimani City ndo dealers sasa ww unazungumzia Tanzania ipi??
Screenshot_20230218-054502_Chrome.jpg
 
Slowly na online24 nadhani mna search vitu tofauti. Mmoja anatafuta Apple Store na mwingine anatafuta Apple Reseller.

Hadi karibuni, Apple walikuwa na Apple Store 518 kwa nchi 25 tu duniani. Hebu fikiria ikiwa Mumbai India, Apple Store wamefungua juzi tu, ndio iwe Tanzania?

Sisi tuna resellers, hatuna Apple Store. Nadhani Africa nzima hawana Apple Store.
 
Yah reseller means wanauza vifaa feki vya apple au original?
 
Nendeni Elite computers Upanga
Ila ukifika mapokezi sema unachotaka na specs zake utaletewa invoice ukalipie kisha utapata unachotaka!

Tahadhari: Hapo hakuna bei za kulia lia za makumbusho maana hilo sio duka ni ofisi. Na warranty yako ya maandishi utapewa.
 
Slowly na online24 nadhani mna search vitu tofauti. Mmoja anatafuta Apple Store na mwingine anatafuta Apple Reseller.

Hadi karibuni, Apple walikuwa na Apple Store 518 kwa nchi 25 tu duniani. Hebu fikiria ikiwa Mumbai India, Apple Store wamefungua juzi tu, ndio iwe Tanzania?

Sisi tuna resellers, hatuna Apple Store. Nadhani Africa nzima hawana Apple Store.
Point
 
Back
Top Bottom