๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š.

Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ



Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku ukiendelea kutumia namba ileileโ€”bila usumbufu wa kuhamisha laini kila mara. ๐Ÿ”ฅ

Kumbuka Mfumo huu bado unategemea msaada wa mtandao wako (carrier), hivyo upatikanaji wake unaweza kutofautiana kwa nchi na mtandao.



Unafikiri mitandao ya simu Tanzania itaweza kuruhusu huu Mfumo kufanya kazi tuachie maoni yako au ndo mwanzo wa kufuatilia mawasiliano ya watu ๐Ÿ˜ƒ ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ