Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote zikiwa na iOS 18 ambayo itakua na AI (Apple Intelligence), ambayo kuna tetesi ikawa sio bure (20$/month)!
Pia watazindua Apple Smartwatch series 10 aka series X!
Uzinduzi umeanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, nadhani kesho saa 4 tutazikuta Makumbusho!
Unaweza kucheki Keynote YouTube hapa:
View: https://www.youtube.com/live/uarNiSl_uh4?si=a-QsuK5SsXIB-f2G
Ila kama kawaida comments zimefungiwa!