Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

IPhone 13 utauziwa used. Labda iPhone 15 utapata mpya sababu ya kuja kwa toleo jipya
Niliwakuta wakaka wa Makumbusho kwa Dada mmoja China anaitwa Lily jamani hata hizo Iphone 15 bora ukanunue maduka yanayoeleweka, simu used ila wanachukua zile first grade wanafunga vizuuri wakija huku wanasema mpya za kwenye box!! Kuna mmoja nikamuambia unajisikiaje kuwaibia watu qkanijibu dada acha uchawi😂😂
 
Bongo usinunue Iphone, watu hawajui kabisa kuwa wanauziwa Iphone used in good condition
 
Back
Top Bottom