Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo nje na njaa kali..mwambie arudi tu tuje kulima nae huku Ikwiriri.Enhee hatari!
Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!
Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.