binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa , hii nchi ngumu mno! 😀😂😂😂😂 you made my day! Unajua hata mimi hili swala nimekuwa najiuliza sana yani mtu anaweza kuwa ana gari ila akikutana na mtu mwenye iphone hata 11 anamuona ni wa gharama na atamshangaa ameipataje na anaweza akaanza kuuliza kabisa na hii ni nimegundua ni ugonjwa wa Tanzania sijui wanaichukuliaje iphone na ndio maana wanawachukulia wanaozimiliki hasa wadaa basi wamepata kwa kutaabika kitu ambacho si cha kweli!
Enhee hatari!Nilikuwa sinza hospital last week, Kuna mdada ana I phone 13.
ana zigo fulani, sijui nili msemesha kipi aka nambia I phone mpya zina karibia kutoka. So wewe tu nichangamkie
Ana matumaini anaweza, usizime ndoto yake..Enhee hatari!
Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!
Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.
Hii simu nzuri sanaJuu ya Mil 1 sinunui simu mkuu. Hapa naiangalia Galaxy 23 Ultra sema nayo bei ya figo.
😂😂😂😂 iphone kwa tanzania ni kama dhamana ya kupata kitu au mtego hahahaha!Enhee hatari!
Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!
Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
View attachment 3091819
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote zikiwa na iOS 18 ambayo itakua na AI (Apple Intelligence), ambayo kuna tetesi ikawa sio bure (20$/month)!
View attachment 3091816
Pia watazindua Apple Smartwatch series 10 aka series X!
View attachment 3091817
Uzinduzi umeanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, nadhani kesho saa 4 tutazikuta Makumbusho!
Unaweza kucheki Keynote YouTube hapa:
View: https://www.youtube.com/live/uarNiSl_uh4?si=a-QsuK5SsXIB-f2G
Ila kama kawaida comments zimefungiwa!
Sio kwamba hana hana, ila principle yangu ni moja , usimnunulishe mtu kitu kwa kutumia akiba yake bali ziada.Ana matumaini anaweza, usizime ndoto yake..
Na nilivyo mvivu, acha nimuache tu. maana hawa chelewi kukuambia umpeleke lunch golden fork ya oysterbay.Enhee hatari!
Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!
Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.
Golden fork zote bei ni zile zile tu. Halafu dinner ya golden fork si mtashiba sana kama mnaenda kulima? au ndio kazi kazi.Na nilivyo mvivu, acha nimuache tu. maana hawa chelewi kukuambia umpeleke lunch golden fork ya oysterbay.
Akati na pale sinza hospital IPO😃😃.
USI msemee bhana, USI pime mfuko wa mtu kwa kumtazama au historia yake!!.
Kushiba ni muhimu Sana, I like eating na ndo starehe ninayo ipa kipaumbele.Golden fork zote bei ni zile zile tu. Halafu dinner ya golden fork si mtashiba sana kama mnaenda kulima? au ndio kazi kazi.
Ukiendelea nitamtag yupo humu anayeweza kuninunulia 100% ananunua akiwa hawazi chochote kwa kutumia chenchi alizobakiza safarini 😂
Ila Umaskini wa mawazo na akili ni noma zaidiUmaskini ni kitu kibaya sanaa.
Ni umaskini Wa mawazo tu.Mkuu unafikiri kinachotofautisha standards za maisha yetu ya kila siku ni nini? Ndo maana unaweza ukaendesha IST mwenzio akasukuma Mercedes Benz G Wagon. Foleni ile ile, pot holes zile zile, kero kama zote. Mwisho wa siku kwenye maisha la muhimu ni kipaumbele cha muhusika.
Wewe kama uwezo wako ni tecno, usimlaumu yule anayetaka iPhone ya 4m yenye features ambazo hata hazijui na wala hazihitaji na wala hatazitumia. Ndo maisha.
I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️Kushiba ni muhimu Sana, I like eating na ndo starehe ninayo ipa kipaumbele.
Kumnunulia mtu kitu siyo shida, shida ni mtu anavyo behave, few weeks una taka I phone- are you the agent of bargainers on earth 😃.
Kama niki kutana na mtu, na haja wahi pata experience fulani za maisha.
I'm willing to show them the world, ila sio kina mikucha mirefu
Moja kati ya kitu nacho pendea kwa watu ni uhalisia.I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️
Usha wahi kutana na watu Wana kufanya ufurahi na kuona aibu ukiwa nao??!.I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️
Sahihi kabisa.Usha wahi kutana na watu Wana kufanya ufurahi na kuona aibu ukiwa nao??!.
Yaani wata cheza hata barabarani, ili mradi ucheke tu.
Na Wala hudaiwi au hawako entitled na kitu Chako.
Mna kutana Kama ni masela, eat, laugh wanao kunywa na wanywe.
Mna share deal baadhi, ushauri upate
and that's how life is, nitekenye niku tekenye.
Mkuu acha kabisa, mengi yanayozungumzwa humu unaweza kuona kama ni uzushi ila ni uhalisia. Mimi sikuwa nikiamini ila baada ya kujichanganya na watu ndo nikajua jinsi dunia ilivyo haribika.Mi huwa siamini kwanza, mtu aliwe huko kisa simu??