Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yn kapambana weee afu anavuta 8 😂 nikajua kapambana wee kavuta ht 13Daah kuna jamaa yangu mpenzi wa IPhone sasa kapambana wee kavuta iPhone 8 sasa akisikia imetoka 16 nadhani, atachoka
Juu ya milioni usinunua brand tofaut na galaxies... hapo ndipo burudani ilipo. IPhone tuwaachie wanaojishebedua insta . (POVU RUKSA KWA WOTE MNAO DHANI TUNAWAONEA WIVU)Juu ya Mil 1 sinunui simu mkuu. Hapa naiangalia Galaxy 23 Ultra sema nayo bei ya figo.
Ni kweli, hizi simu pamoja na Samsung wanazipaki kwenye maboksi na kuziwekea sticker na seal unaambiwa ni mpya kumbe ni used Grade one. Ni ngumu kuweza kubaini kwamba sio mpya ila uzuri kwa simu za Apple ukiingiza ile warranty itakwambia imeaha expire.Niliwakuta wakaka wa Makumbusho kwa Dada mmoja China anaitwa Lily jamani hata hizo Iphone 15 bora ukanunue maduka yanayoeleweka, simu used ila wanachukua zile first grade wanafunga vizuuri wakija huku wanasema mpya za kwenye box!! Kuna mmoja nikamuambia unajisikiaje kuwaibia watu qkanijibu dada acha uchawi😂😂
Siku hiz wana jina lao linaendana na brand ya kampuni yaoMazombie yatatoka na kusema this is the newest and most futuristic feature ever.
Acha ujinga dunia haiko hvyi sa hv Phone point dar wanauza genuine iphpne na zina apple warrant unafikili tuko 2018 sa hvBongo usinunue Iphone, watu hawajui kabisa kuwa wanauziwa Iphone used in good condition
Elewa muktadhaWengine hawana marinda na hawana aifoni, unalizungumziaje hilo mtaalamu?
Siku hiz wana jina lao linaendana na brand ya kampuni yao
Wanaitwa iSheep
Wengine wamebaki na figo moja.Juu ya Mil 1 sinunui simu mkuu. Hapa naiangalia Galaxy 23 Ultra sema nayo bei ya figo.
Makumbusho tayari zishafika mkuu 😁🙌Mchuchu akiitaka hii sina jinsi itabidi nimchukulie fake za wachina kuokoa gharama
Kumbe watu wanaenda kununua jina na namba iliyo pewa hiyo simu na si vinginevyo. Wakisikia 16 plus watu wanachanganyikiwa kabisa 😁😁😁iPhone 16 na 16 Plus zishatangazwa!
View attachment 3091847
Kila kitu kama mwaka jana kwenye 15 na 15 Plus kwa muonekano, kasoro tu nyuma camera zimekaa vertically sio kupishana kama kwenye 13 14 na 15!
Pia, Action button (hii ilimreplace mute switch) ambayo ilikua kwenye Pro peke yake sahivi ipo pia kwenye 16 plain na Plus.
Pia kuna button mpya kwaajili ya kuactivate camera.
Simu iko na new chip A18 ambayo Tim anatuambia ni 30% fast kuliko ya mwaka jana, na power efficiency aimeongezeka kwa 35%.
Pia bigger battery, ila hawasemi mAh!
Camera kuna improvement (on paper)
Macro ✔️
48 MP + 12 MP 2x Telephoto ✔️
55mm 1.6 aperture ✔️
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi ana iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
View attachment 3091819
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote zikiwa na iOS 18 ambayo itakua na AI (Apple Intelligence), ambayo kuna tetesi ikawa sio bure (20$/month)!
View attachment 3091816
Pia watazindua Apple Smartwatch series 10 aka series X!
View attachment 3091817
Uzinduzi umeanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, nadhani kesho saa 4 tutazikuta Makumbusho!
Unaweza kucheki Keynote YouTube hapa:
View: https://www.youtube.com/live/uarNiSl_uh4?si=a-QsuK5SsXIB-f2G
Ila kama kawaida comments zimefungiwa!
Camera wameipa sana kipaumbele. Kwasababu hawana kingine cha kusema.View attachment 3091868nido niko naistream now naona wanazungumzia macamera tu muda wote
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi ana iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
View attachment 3091819
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote zikiwa na iOS 18 ambayo itakua na AI (Apple Intelligence), ambayo kuna tetesi ikawa sio bure (20$/month)!
View attachment 3091816
Pia watazindua Apple Smartwatch series 10 aka series X!
View attachment 3091817
Uzinduzi umeanza saa 2 usiku kwa saa za Tanzania, nadhani kesho saa 4 tutazikuta Makumbusho!
Unaweza kucheki Keynote YouTube hapa:
View: https://www.youtube.com/live/uarNiSl_uh4?si=a-QsuK5SsXIB-f2G
Ila kama kawaida comments zimefungiwa!
Kama gari tuuUnakuta mtu kazi yake ni kupiga,kupokea na kuandika SMS tu naye anamiliki iPhone 15 promax.