Enhee hatari!
Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!
Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.