Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Mkuu,

Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.

Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Shida zile zina vile vipira vya kuingiza ndani ya shimo za sikio hiyo kitu sio sawa.
 
Hahahaha braza unasema hamna kitu kwamba maskio yangu yanadanganya?[emoji3]
We ulitaka niseme ni elfu 50 ili uamini ni nzuri.

Amini nikitaka kufanya biashara naweza wapata wengi nikawauzia hata 30K tu mikoani. Zina mziki mzuri uliojaa.
Kama za 10k zimekuzuzua hivyo ukipata zile OG kabisa utasemaje?
 
Raha ya hizi earphones uzitumie kwenye Apple Device na ziwe genuine na sio hizi famba and replica za mchina, na ukiingia kwenye ecosystem ya Apple ndo ujue umekwenda na maji
 
Home theater unatoka nayo nje?
Utasafiri nayo?
Utatulia nayo Hotel/ Vacay/ chimbo?

Weee emu tulia [emoji23][emoji23]
Mboni kuna kabira maarufu huko kanda ya ziwa wanatembea na maredio makubwa muziki mnene utadhani mtu kabeba sanduku la kufugia nyoka
 
Hii style kuna mdosi alinifundisha pia, mbeleni uhangaiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…