Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Kipimo cha fake kipo kwenye kukaa na charge ...kadri inavyozidi kuwa og zaidi ndio masaa zaidi ya kukaa na charge yanaongezeka
Nilikuwa nayo kma hiyo nilinunua kwa mtu used buku 7 mpya nikaulizia ni buku 15 ,niliyokuwa nayo charge ilikuwa inakaa masaa matatu nikaiuza saaa nina hii Pro 6
 
Kipimo cha fake kipo kwenye kukaa na charge ...kadri inavyozidi kuwa og zaidi ndio masaa zaidi ya kukaa na charge yanaongezeka
kama umechukua first au second copy ambazo zinakaa na chaji vizuri sio maa mawili hapo vizuri maana nimewahi kumkuta jamaa anazo kama hizo alizisifu Kukaa na chaji muda mrefu wakati yangu ilikuwa masaa 2.

Brand za vipira kama ulizopost(jina nimelisahau) ni Infinix au Tecno katika ulimwengu wa Earpods maana kwa utafiti wangu katika kila watu 10 wenye Earpods 8 au 7 wanatumia hizo ndio maana copy na fake zake zimekuwa nyingi hizo hata kwa wamachinga wa mitaani wanatembeza hivyo inahitaji umakini ili usipigwe ,kwenye suala la sound wako vizuri base imenyooka.
 
15k unapata earphone nzuri tu za wire ..
Inategemea na choice yako mm napenda mziki wa base sana
Mimi tokea nianze kutumia pods nimeacha ramsi mawaya sasa hivi mawaya naona uzito kuvaa hata ziwe na Quality ya dunia ,wire rahisi kuharibika ukijichanganya kidogo basi zimekufa na inaweza kunasia mahali kuinuka zinakatika ndio maana nimeacha sasa.
 
Naam mkuu, nimechukua Xperia XZ3 badala ya hiyo. Alafu masikioni natumia Wireless Earphones za Redmi nilinunua AliExpress. So kwa sasa maisha ni mazuri kwa kweli.
Wireless za Redmi Tsh ngapi ,inakaa na chaji muda gani vipi kuhusu mdundo na ubora ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…