Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 za Apple nilipewa na mtu, akasema amenunua elf 20Mkuu,
Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.
Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Masai moja? Serious?Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K)
natumia oraimo free pods 3 zipo vizuri sana.Mkuu,
Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.
Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Bei zake kwa soko zikoje...Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo...
Poa poa chiefAirPods Pro 2 zimeandikwa zile zenye kipira kwa mbele
nilichukua 70k tu mkuu.Zinauzwa bei gani mkuu, nikipata muda nikazicheki nazo.
Mkuu mimi ninayo portable speaker ya bluetooth ya oraimo niliipata ghali kidogo ina base nzuri sana, ila ile logo ya oraimo ndo inanikosesha raha, sasa zikiwa earpods si ndo kaalama ka oraimo katang'aa kabisa masikioni?.Mkuu,
Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.
Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Hahaha 10k? mkuu unazingua hizo itakuwa rangi nyeupe tu hamna kitu hapo.Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Zina bass nazo?Mkuu,
Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.
Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Mi pia naona kama zitakuwa nzuri shida ile logo ya kuashiria ni mchina inanipa stress, au ninunue nikangue na wembe hahaah.Oraimo nimejaribu za waya jana zinagonga vizuri sema tu sababu ni Oraimo na sikutaka za waya. Nataka za Bluetooth. Huwa wanauzaje Pods zake?
Hahahaha braza unasema hamna kitu kwamba maskio yangu yanadanganya?😀Hahaha 10k? mkuu unazingua hizo itakuwa rangi nyeupe tu hamna kitu hapo.