Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Subiri maajabu yaanze 😂😂
Nanunua zingine 🤣 ila just imagine za 70k ni famba halafu zikachoma kabla hata ya mwezi. Nimenunua sana earphones ila bei zangu ni 10-20K.

As long as bass nayotaka naipata im good. Niliwahi kuwa na TDK beats, Sony XB-88, Skull Candy, AKG na zingine kibao ila bei zangu hazizidi 20K
 
But, nje ya mada hivi nyie watu huku JF mnatoa wapi hela mbona ni mimi tu ndo sina gari, sijawahi kutoka nje ya nchi, sina hela, sijawahi kupanda ndege?.

Yaani wenzangu nawakuta mnaulizia namna ya kulipa faini, sijui ramani nzuri kwaajili ya ujenzi, tuseme mimi nakosea wapi wakuu, au sina exposure?.
Jichanganye mkuu.

Kuwa na wanywa bia wenzako ila wenye vision tofauti na wanywa kvant au kamatia chini.

Utaweza pata dili hata la kusindikiza mrembo huko mambele
 
Nilikuwa nazo nilinunua 45k nilitumia kama week 3 hv nikazigawa, shida na mm ilikuwa hiyo hiyo ila perfomance wise ziko vizuri mno products za oraimo, ninayo na charge pia ipo faster balaa
Hahah kabisa mkuu kutembea na product yenye alama kabisa kuwa ni made in macho madogo inahitaji moyo, unaweza kwenda mahali kwenye interview au makubaliano ya biashara ukawekwa pending.
 
70k unanunua kitu mara nne kwa mwaka ni sh ngp?

Hujapigia cost za usumbufu, poor quality etc...

Si bora ununue kitu ya 300k au 350k for five years, high qualitu
Hahahahah nikiwa chawa wa mama ntafanya hivyo 😀
 
Eeh kweli, kwa hio pesa huwezi nunua kitu kibovu. Ina maana hao wanaijeria ndo wanauza vitu ghali kiasi hicho. Kama za waya wanauza buku 5 jumla na zina bass sidhani kama hio earpods ni ghali hivyo.
mwanzo zilivyoingia zilikua zinauzwa around 140k, ukilia lia mpaka 120k unachukua.
kuhusu quality, sijutii hela yangu, zina base na zinachuja vizuri sana.
kwenye charge, simu ndio itaisha charge zenyewe bado zimo tu, kwa upande wangu nasikiliza kwa siku nne mpaka tano ndio nacharge tena.
 
70k unanunua kitu mara nne kwa mwaka ni sh ngp?

Hujapigia cost za usumbufu, poor quality etc...

Si bora ununue kitu ya 300k au 350k for five years, high qualitu
Nilichukua cover ya simu kariakoo baada ya kuhangaika sana kila baada ya week kadhaa cover zinapauka, mwanangu mmoja akaja twende nikupeleke kwa plug cover ukuta wa ikulu nikachukua bhana ila sadly yale yale, nikaona upuuzi huu nikazama amazon andika aina ya simu zikaja cover kibao kaliiii balaa cover ina screen protector built in kabisa, sasa hivi safi tu nshasahau swala la cover sjui protector n.k
 
Malizia na price mkuu, kwahyo inaonekana humu barani tunatumia vitu quality ya chini sana?.
 
mwanzo zilivyoingia zilikua zinauzwa around 140k, ukilia lia mpaka 120k unachukua.
kuhusu quality, sijutii hela yangu, zina base na zinachuja vizuri sana.
kwenye charge, simu ndio itaisha charge zenyewe bado zimo tu, kwa upande wangu nasikiliza kwa siku nne mpaka tano ndio nacharge tena.
Hapo kwenye charge ndio muhimu.
 
Back
Top Bottom