Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Nura ni zipi mkuu, mi pia nilinunua AKG lakini hazijadumu sikio moja limeenda kwao nimechukia saaaana, hizi nura ni zipi?.
Achana na nura mkuu, wanajua sana hizi kazi. Nilikua na nuratrue niliinunulia SA hadi leo ninayo na sijaona mpinzani,

Wana brands tofauti ila challenger ya anachoongelea mtoa mada ni hii nuratrue

622a82cf9ad727bb72231919_nt-v3-carousel-1-p-800.jpeg
622a82d02c86c7fb4ab84178_nt-v3-carousel-2-p-800.jpeg
 
Hahahaha braza unasema hamna kitu kwamba maskio yangu yanadanganya?😀
We ulitaka niseme ni elfu 50 ili uamini ni nzuri.

Amini nikitaka kufanya biashara naweza wapata wengi nikawauzia hata 30K tu mikoani. Zina mziki mzuri uliojaa.
Hahaha hapana mzee, earpods original zimesimama sana bei usichukulie poa hizo zako ni suala la muda tu sikio la kushoto litaanza kupiga mada nyingine la kulia litaconnect na tecno ya mtu lipige mada nyingine.
 
Hizi naamini itakuwa ni 1st copy ila zinafanya vyema sana mkuu, wapewe maua yao incase hizo za laki zina mziki mzuri zaidi ya huu. Oraimo ya waya haipigi kama hii.
 
Hizi naamini itakuwa ni 1st copy ila zinafanya vyema sana mkuu, wapewe maua yao incase hizo za laki zina mziki mzuri zaidi ya huu. Oraimo ya waya haipigi kama hii.
Kwani charge inakaa muda gani kwa ulivyoitumia, na zinashika sikioni? au kila saa unarudishia rudishia, maana hawa wachina unakuta wametengeneza kwa kupimisha na masikio ya wa mongolia huko mzigo mnene zinakaa juu juu kwa kuegesha.
 
Mi pia naona kama zitakuwa nzuri shida ile logo ya kuashiria ni mchina inanipa stress, au ninunue nikangue na wembe hahaah.
Nilikuwa nazo nilinunua 45k nilitumia kama week 3 hv nikazigawa, shida na mm ilikuwa hiyo hiyo ila perfomance wise ziko vizuri mno products za oraimo, ninayo na charge pia ipo faster balaa
 
Kwani charge inakaa muda gani kwa ulivyoitumia, na zinashika sikioni? au kila saa unarudishia rudishia, maana hawa wachina unakuta wametengeneza kwa kupimisha na masikio ya wa mongolia huko mzigo mnene zinakaa juu juu kwa kuegesha.
Inakaa vizuri inatulia na wala hainipi ear fatigue. Charge ndio nacharge sahizi toka jana nilipozichukua. Playback time ni almost 4 hours non stop
 
Achana na nura mkuu, wanajua sana hizi kazi. Nilikua na nuratrue niliinunulia SA hadi leo ninayo na sijaona mpinzani,

Wana brands tofauti ila challenger ya anachoongelea mtoa mada ni hii nuratrue

View attachment 2613034View attachment 2613033
Mkuu kwa hii picha nimeshakubali hata kabla sijatumia, mbona ziko tofauti kabisa?.

But, nje ya mada hivi nyie watu huku JF mnatoa wapi hela mbona ni mimi tu ndo sina gari, sijawahi kutoka nje ya nchi, sina hela, sijawahi kupanda ndege?.

Yaani wenzangu nawakuta mnaulizia namna ya kulipa faini, sijui ramani nzuri kwaajili ya ujenzi, tuseme mimi nakosea wapi wakuu, au sina exposure?.
 
Sasa hapo tumia apple music au spotify kustream ukikonekti na hzo pods via blutusi, uje unishukuru bdae.
Mnakosa sana utamu,

Kuna siku nilikua na malaya mmoja home akawa na hizo earbuds na iphone yake anajishau tu baada ya game.

Nikalala zangu asbh naenda jogging ile narudi ndo akaona nmevaa nuratrue, ile kuzitoa akaomba kujaribu sababu hata shape yake ni unique. Kujaribu si kaanza kunililia nimuachie nikasema hapana, mara ohh usinilipe niachie tu hizi nikasema no, kwanza K ya 50k ila nuratrue nlinunua kwa almost laki nne za kibongo (usd 180 by then)

Ni brand fln utaikuta kwa elites tu
 
Back
Top Bottom