Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vi blueetooth speaker vya Oraimo vina mziki mzuri kweli?mwanzo zilivyoingia zilikua zinauzwa around 140k, ukilia lia mpaka 120k unachukua.
kuhusu quality, sijutii hela yangu, zina base na zinachuja vizuri sana.
kwenye charge, simu ndio itaisha charge zenyewe bado zimo tu, kwa upande wangu nasikiliza kwa siku nne mpaka tano ndio nacharge tena.
Sina maana hiyo mkuu ila genuine maduka ya kutafuta saaana na ukifika bado wanakuona kama umekuja mjini na mbio za mwenge wanataka wakupige bei unayotajiwa inabidi ugeuze tu.Malizia na price mkuu, kwahyo inaonekana humu barani tunatumia vitu quality ya chini sana?.
HahahahahahahaSubiri maajabu yaanze à ½Ã¸à ½Ã¸
Hahahah makofi kwa elites tafadhali 😀😀😀 sisi wakazi wa Kazimzumbwi humo hatuwezi kaaMnakosa sana utamu,
Kuna siku nilikua na malaya mmoja home akawa na hizo earbuds na iphone yake anajishau tu baada ya game.
Nikalala zangu asbh naenda jogging ile narudi ndo akaona nmevaa nuratrue, ile kuzitoa akaomba kujaribu sababu hata shape yake ni unique. Kujaribu si kaanza kunililia nimuachie nikasema hapana, mara ohh usinilipe niachie tu hizi nikasema no, kwanza K ya 50k ila nuratrue nlinunua kwa almost laki nne za kibongo (usd 180 by then)
Ni brand fln utaikuta kwa elites tu
Mimi natamani sana kuwa naagiza vitu huko nje, hiyo connection em fanya namna ya kushea mkuu, maana maduka yetu ya bongo kwanza mimi sipendi kugombaniwa yaani unafika unaanza kugombaniwa, wewe njoo huku! bro njoo kwangu! hii hapa tecno Y4! kamanda karibu hapa! huku kuna ofaa njoo!.Sina maana hiyo mkuu ila genuine maduka ya kutafuta saaana na ukifika bado wanakuona kama umekuja mjini na mbio za mwenge wanataka wakupige bei unayotajiwa inabidi ugeuze tu.
Nje vitu cheap na genuine saana ila tu uwe na connection ya kuvitoa ukiagiza, kodi za bongo unaweza kususa mzigo ukawaachia
Mimi mkuu nililetewa na mtu alikuwa anarudi kutoka masomoni, niliweka location aliyokuwa anaishi mzigo ukamfata akaja nao. Na alishamaliza na kutoka huko kabisa.Mimi natamani sana kuwa naagiza vitu huko nje, hiyo connection em fanya namna ya kushea mkuu, maana maduka yetu ya bongo kwanza mimi sipendi kugombaniwa yaani unafika unaanza kugombaniwa, wewe njoo huku! bro njoo kwangu! hii hapa tecno Y4! kamanda karibu hapa! huku kuna ofaa njoo!.
Yaani automatically unafeli kabla hata ya manunuzi.
Niko town ndio. Utapata haina shida mkula.
Ntafanya kupita huko mkuu nioshe macho quality za kibongo kwa kweli zinanivunja moyo sana.Mimi mkuu nililetewa na mtu alikuwa anarudi kutoka masomoni, niliweka location aliyokuwa anaishi mzigo ukamfata akaja nao. Na alishamaliza na kutoka huko kabisa.
Ila kuna uzi wa namna ya kununua vitu huko kuna sellers wana ship worldwide unaorder tu una
Pamoja sana chiefNtafanya kupita huko mkuu nioshe macho quality za kibongo kwa kweli zinanivunja moyo sana.
Wengine tumeletwa mjini na mbio za mwengeHahahah makofi kwa elites tafadhali
Nipo kigamboni mkuuKwa leo sijatoka mkula niko kitaa ila duka lipo kariakoo. We uko wapi kwani?
Powh mkaliKesho itakuwa siku nzuri, jioni hapo
Disappointed na hii comment, siku ukinunua zenyewe of nadhani utapita ukitangaza mtaani kwenu kama hizo famba unazisifia hiviHii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Mkuu zitakuwa nzuri sina shaka. Hizi nilizopata ni zina sound vizuri tu na nimenunua randomly sababu hata sikuwa na mpango nazo. What matters kwangu ni sound sio bei.Disappointed na hii comment, siku ukinunua zenyewe of nadhani utapita ukitangaza mtaani kwenu kama hizo famba unazisifia hivi