Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.

Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.

Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.

Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.

Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! 😀View attachment 2612969
Dah

Apple Bado
 
Niliuliza earpods za apple Muzzamil znz nikaambiwa laki 6...nilichoka

Vidude vidogo vile si dakika tu naweza kukapoteza kimoja halafu nianze Julia kilio cha mbwwa [emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna jamaa yangu mmoja yupo South nikasema nimuagize yaweza kule ikaniwia rahisi akaniambia Angel bora hata nikutumie pesa ununue hukohuko kule bei zimemshinda.

Alinitumia lake tano, ila zilinisaidia kwenye kuwanunulia wtt school accessories, earpod sijui ear bugs zitasubiri [emoji2957]
Kwahyo akitaka picha ya earpods ili ahakikishe quality uliyouziwa utakuja kuchukua picha ya hizi za Extrovert.

Ila umenisusa sio kidogo mama.
 
Niliuliza earpods za apple Muzzamil znz nikaambiwa laki 6...nilichoka

Vidude vidogo vile si dakika tu naweza kukapoteza kimoja halafu nianze Julia kilio cha mbwwa [emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna jamaa yangu mmoja yupo South nikasema nimuagize yaweza kule ikaniwia rahisi akaniambia Angel bora hata nikutumie pesa ununue hukohuko kule bei zimemshinda.

Alinitumia lake tano, ila zilinisaidia kwenye kuwanunulia wtt school accessories, earpod sijui ear bugs zitasubiri [emoji2957]
Wenye akili kumbe tupo wengi, umefanya matumizi sahihi kabisa ya hela 😀😀😀 we ununue earphone laki 5 kweli. Hata kama una hela ila hapana.
 
ungekuwa karibu ningekuachi kwa siku kadhaa ujionee mwenyewe kaka.
mwenyewe mlevi wa mziki, kwaio suala la kinu ninachotumia kupata taste ya miziki nazingatia sana.
We uko wapi kwani? 😀 Uko Djibouti au mimi huwa siwekagi hela ambako satisfaction siipati.
 
Back
Top Bottom