Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 396
- 1,958
Mkuu na Mimi nahitaji nipo hapa dar,Niko town ndio. Utapata haina shida mkula.
Maana umezipa sifa sana nazihitaji mkuu nijionee sifa ulizo zimwaga hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na Mimi nahitaji nipo hapa dar,Niko town ndio. Utapata haina shida mkula.
DahKwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.
Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.
Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.
Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! 😀View attachment 2612969
Kwahyo akitaka picha ya earpods ili ahakikishe quality uliyouziwa utakuja kuchukua picha ya hizi za Extrovert.Niliuliza earpods za apple Muzzamil znz nikaambiwa laki 6...nilichoka
Vidude vidogo vile si dakika tu naweza kukapoteza kimoja halafu nianze Julia kilio cha mbwwa [emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna jamaa yangu mmoja yupo South nikasema nimuagize yaweza kule ikaniwia rahisi akaniambia Angel bora hata nikutumie pesa ununue hukohuko kule bei zimemshinda.
Alinitumia lake tano, ila zilinisaidia kwenye kuwanunulia wtt school accessories, earpod sijui ear bugs zitasubiri [emoji2957]
Hahaha! Hapo basi maua wapewe waliotoa Copy mkuu! Apple hawana bidhaa ya 10KHii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
Elfu mbili ya usumbufu mkuu😀😀😀😀😀😀😀 Mnatoa na ya Usumbufu lakini 🤣
So bidhaa naipataje🤔Apple sindio wenye bidhaa mkuu, hio kutoa copy ni mchina tu ndio kafanya kui downgrade.
Wenye akili kumbe tupo wengi, umefanya matumizi sahihi kabisa ya hela 😀😀😀 we ununue earphone laki 5 kweli. Hata kama una hela ila hapana.Niliuliza earpods za apple Muzzamil znz nikaambiwa laki 6...nilichoka
Vidude vidogo vile si dakika tu naweza kukapoteza kimoja halafu nianze Julia kilio cha mbwwa [emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna jamaa yangu mmoja yupo South nikasema nimuagize yaweza kule ikaniwia rahisi akaniambia Angel bora hata nikutumie pesa ununue hukohuko kule bei zimemshinda.
Alinitumia lake tano, ila zilinisaidia kwenye kuwanunulia wtt school accessories, earpod sijui ear bugs zitasubiri [emoji2957]
Okay,Mitaa ipi na kuanzia muda gani Ili niwe stand by mkuu hiyo keshoTuchekiane kesho jioni after kutoka mihangaikoni.
ungekuwa karibu ningekuachi kwa siku kadhaa ujionee mwenyewe kaka.Mkuu vi blueetooth speaker vya Oraimo vina mziki mzuri kweli?
We uko wapi kwani? 😀 Uko Djibouti au mimi huwa siwekagi hela ambako satisfaction siipati.ungekuwa karibu ningekuachi kwa siku kadhaa ujionee mwenyewe kaka.
mwenyewe mlevi wa mziki, kwaio suala la kinu ninachotumia kupata taste ya miziki nazingatia sana.
nipo A town kaka.We uko wapi kwani? 😀 Uko Djibouti au
nilichuka 70k, wanakupa na box lake kabisa kitu sealed.Wanakauzaje kale ili nkatafute kariakoo