Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

We unafikiri kwanini wahindi wamejaza aborder na Mr. UK kwenye maduka yao ambayo mwaka 2008 yalikuwa yana name brands tu. Kama Sony, Panasonic, LG, Samsung.

Mchina sio mtu, we toa ya laki3 yeye anatoa hio hio ya elfu 30.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kitu ni kile kile
Lakin ubora sasa ni tofauti.
 
Dah yan umepitia mapito yangu kabisa wakati natafuta earphone nilikumbana na fake za apple tokaa hapo nikaamini zote ni mbaya, nipo zangu oraimo ila naanza kujenga imani na ulizosema hapo, bei tu ndio changamoto
 
Back
Top Bottom