Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah , unachotoa kwenye hio EQ yako sio stereo..Ni either inapunguza ama kuongeza high or midsMzee Stereo ni audio channels Left and Right. Mziki unapotayarishwa unapangwa kwenye hizo channels.
Kijana naona unagusa maslahi mazitoWewe Cancer unaikwepaje na K unazokula kavu
Lakin ubora sasa ni tofauti.We unafikiri kwanini wahindi wamejaza aborder na Mr. UK kwenye maduka yao ambayo mwaka 2008 yalikuwa yana name brands tu. Kama Sony, Panasonic, LG, Samsung.
Mchina sio mtu, we toa ya laki3 yeye anatoa hio hio ya elfu 30.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kitu ni kile kile
Tena tafuta EARBUDS na sio Earpods. Yaan tafuta zile zinazozama ktk skio sio hizi za kinyasa.Hizi ziko njema nimezi try jana. Ila nataka za wireless zake.
Hapo ndipo hata mimi aliponichosha.Hahaha 10k? mkuu unazingua hizo itakuwa rangi nyeupe tu hamna kitu hapo.
Nazipata hizo, zinamdundo mkali.Hahahahah mzee wembe ni kifaa muhimu. Sema zile za waya hawajaandika Oraimo. Zipo black plain tu.
Ipo second gen, twitter watu wanauza kwa 45k.Khaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana. Ndio naisikia hapa
Nura baba stailzNura ni zipi mkuu, mi pia nilinunua AKG lakini hazijadumu sikio moja limeenda kwao nimechukia saaaana, hizi nura ni zipi?.
10000???Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.
TUelekezane namna ya kuzipata mm nahitaji earpods zenye base nzurihizo earpod zimekamilik
zina bass ambay huenda hujawah isikia kweny earphon yyote
chunga usichukue fake maana hizo za apple ni ghari sana ukizikut og
eaRphone za oraimo ni nzuri?Oraimo ndio mwisho wa matatizo.
Mie ninazo za waya na wireles...
Mzee nitakuwa wa mwisho kuamini kama hizo ulizonunua ni original. Eneo ulilonunulia pamoja na hiyo itoshe kusema kwamba umenunua COPY.Jumla Jumla kariakoo nimezipata kwa 10K tu. Ila nadhani reja reja itakuwa zaidi ya hio. Ama mkoani huko ni mauaji.
Usiniambie mkuu na wewe umeshatumia nura true.Nura baba stailz
Duh mkuu hata kama umevutiwa ndo uhamishe duka lote home?.View attachment 2613589
Kula chuma hicho..
View attachment 2613594
Wirelss nimeziacha Ofisini bahat mbaya.
Hata oraimo huna? Au unatumia simu ya itel?Zina bass nzuri ?
Sjawah kupata earpods zenye bass