yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Sipendagi mavitu ya kuchajchaj mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe connection mkuu nifike dukani hapo nazitakaJumla Jumla kariakoo nimezipata kwa 10K tu. Ila nadhani reja reja itakuwa zaidi ya hio. Ama mkoani huko ni mauaji.
Siwezi sikiliza airpods hazina bass...Hata oraimo huna? Au unatumia simu ya itel?
Hakuna shida mzee tuko sawa kama mmSiwezi sikiliza airpods hazina bass...
Nina earphones kali zenye bass na nina headphones nzuri sana zina bass haswaa
Mm napenda mziki sana chief npo radhi nifanye vibarua wiki nzima mpaka weekend ili tu nitafute hela ya headphones nzuri
Kama oraimo hizo ulizonazo zina bass...nipe maelekezo nami nizitafuteHakuna shida mzee tuko sawa kama mm
Sawa mkuu, hiyo selenium ikoje?Iko njema kweli ila Equalizer yake sio powerful. Nayotumia Selenium inataka fanana na Poweramp ila sound reproduction yake ni nzuri zaidi hasa ukijua kucheza na Equalizer.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mzee ni ligi nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama oraimo hizo ulizonazo zina bass...nipe maelekezo nami nizitafute
Nazungumzia Airpods za oraimo
Hahahaha muda wote huo nikajua unasifia earpods original za 650K kumbe hizi 10K pungufu unaongea?Hizo nunueni nyie vibopa. Mimi za 10K mziki wake unantosha sana. Umekidhi viwango.
Mi Niko na playlist Tu🤣Ina vitu vingi sana imekaa ki PRO sana and powerful.
View attachment 2614666View attachment 2614667View attachment 2614668View attachment 2614669View attachment 2614670View attachment 2614671View attachment 2614672
JaRule, Fat Joe, Jadakiss 😎Ina vitu vingi sana imekaa ki PRO sana and powerful.
View attachment 2614666View attachment 2614667View attachment 2614668View attachment 2614669View attachment 2614670View attachment 2614671View attachment 2614672
Sikutaka Mambo mengi mie hata ktk Viatu nikivipenda huwa nabeba vya kutosha...Duh mkuu hata kama umevutiwa ndo uhamishe duka lote home?.
Jaribu kutumia alaf urudi na mrejesho.eaRphone za oraimo ni nzuri?
watu hamna mahaba na bass ya mziki kbsa
Hii selenium unaitoa wapi mkuu au inakuja na earpods.Ina vitu vingi sana imekaa ki PRO sana and powerful.
View attachment 2614666View attachment 2614667View attachment 2614668View attachment 2614669View attachment 2614670View attachment 2614671View attachment 2614672
Hahaha sawa mkuu nitaiga hii mbinu yako nimeipenda.Sikutaka Mambo mengi mie hata ktk Viatu nikivipenda huwa nabeba vya kutosha...
Eeeh Kaka kama ukifumania vitu na hela unayo unavibeba tu huwa inasaidia mfn mimi nina mwaka wa 3 huuu sinunui flash maana nilizifuma zile OG sehemu nikazibeba za kutosha.Hahaha sawa mkuu nitaiga hii mbinu yako nimeipenda.
Hahahah mkuu hii mbinu ni nzuri kama hela ipo vinginevyo unanunua kapiece kamoja unakuta original, ukienda ukija unakutana na grade 80.Eeeh Kaka kama ukifumania vitu na hela unayo unavibeba tu huwa inasaidia mfn mimi nina mwaka wa 3 huuu sinunui flash maana nilizifuma zile OG sehemu nikazibeba za kutosha.
Kuna sehem pia nilzifuma SSD bei kitonga alaf OG nikalala nazo mbele.. juz hapo niliingia ktk liquor store moja hivi nikakuta Jagger inauzwa bei kitonga nikasema hapa hapa.. nikabeba Box kabisa.
Heheh