Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Kama oraimo hizo ulizonazo zina bass...nipe maelekezo nami nizitafute
16835325927074872747252727720547.jpg
 
Hahaha sawa mkuu nitaiga hii mbinu yako nimeipenda.
Eeeh Kaka kama ukifumania vitu na hela unayo unavibeba tu huwa inasaidia mfn mimi nina mwaka wa 3 huuu sinunui flash maana nilizifuma zile OG sehemu nikazibeba za kutosha.

Kuna sehem pia nilzifuma SSD bei kitonga alaf OG nikalala nazo mbele.. juz hapo niliingia ktk liquor store moja hivi nikakuta Jagger inauzwa bei kitonga nikasema hapa hapa.. nikabeba Box kabisa.
Heheh
 
Hahahah mkuu hii mbinu ni nzuri kama hela ipo vinginevyo unanunua kapiece kamoja unakuta original, ukienda ukija unakutana na grade 80.
 
Back
Top Bottom