Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jay z foreve youngPlaylist
Jay z in my lifetime
Jay z anything
2pac gheto gospel
T.I get back up
Jay z on to the next one
Jadakis who is real
2pac do for love
Jay z blue magic
Coolio ganster paradise
50 centy baby by me
Jay z empire State of mind
Jay z justify my thug
Maino all above
Lil Wayne hustle Musik
View attachment 2615910
Stereo maana yake ni Two chanel audio. Sound inayokuwa played through 2 channels ndiyo Stereo sound.Inner ear Bass yake ni nzuri iko balanced na stereo. Mdundo mkubw na mchicha mwingi sema mi huwa sipendagi stereo huwa naiedit kidogo.
Zile generation ya kwanza zenye tobo ndio sizipendagi.
Mkuu, unatakiwa utafute hela kwa nguvu sana..Wenye akili kumbe tupo wengi, umefanya matumizi sahihi kabisa ya hela [emoji3][emoji3][emoji3] we ununue earphone laki 5 kweli. Hata kama una hela ila hapana.
Ok ok thanks mwamba leo nitaibuka hapoEeh zamani round about. Ukiwa unarudi towards buguruni huo mtaa unaouona wa kwanza. Wa pili ni wa akiba bank ule bila shaka. Ukiingia na mtaa wa kwanza unaenda nao mbele mbele kuna hilo duka kwenye chocho
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.
Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.
Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.
Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! [emoji3]View attachment 2612969
Yaani kiongozi nilichelewa kuuona uzi wako,ila nilipouona nikadhani unazungumzia hata first copy za laki 100k[emoji28][emoji28]
Kumbe hizi trash za elfu 10[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Earpod za mwaka jana ni laki 6 na chenji.za miaka ya nyuma zaidi ni laki 3 na kiasi,kua earpod max hiyo ni 1.2ml.
Ni kweli hizo zinalia lakini hazina ubora unaousifia hapa,laah wewe sio mdau wa mziki kama unavyosema,mimi natumia earphone kama kichaa,naweza kukwambia kwa bajeti ya chini ya elfu 40,tafuta earphone za waya tu,achana na wireless utaambulia upupu.
Hizo ninazo nilinunua 20View attachment 2616287
Nikaunga nikaona utumbo tu.
Nikachukua hizi hapa chini kwa 35kView attachment 2616289
Zina afadhali kuliko hizo za mwanzo,ila bado ni upuuzi[emoji2]
Kila nikitaka nitoe 100k naona maini yanacheza[emoji23].
Hizo za pili za 35K zinauzwa 13k hapo dukani. Nimezijaribu nikaona ni umakuzan tu kwanza hazinipi comfortability sikioni. Napenda mziki na earphone nshanunua sana ila sitoi laki kununua kitu kama earphone. 10-20 huwa ndio budget yangu.Yaani kiongozi nilichelewa kuuona uzi wako,ila nilipouona nikadhani unazungumzia hata first copy za laki 100k[emoji28][emoji28]
Kumbe hizi trash za elfu 10[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Earpod za mwaka jana ni laki 6 na chenji.za miaka ya nyuma zaidi ni laki 3 na kiasi,kua earpod max hiyo ni 1.2ml.
Ni kweli hizo zinalia lakini hazina ubora unaousifia hapa,laah wewe sio mdau wa mziki kama unavyosema,mimi natumia earphone kama kichaa,naweza kukwambia kwa bajeti ya chini ya elfu 40,tafuta earphone za waya tu,achana na wireless utaambulia upupu.
Hizo ninazo nilinunua 20View attachment 2616287
Nikaunga nikaona utumbo tu.
Nikachukua hizi hapa chini kwa 35kView attachment 2616289
Zina afadhali kuliko hizo za mwanzo,ila bado ni upuuzi[emoji2]
Kila nikitaka nitoe 100k naona maini yanacheza[emoji23].
Zinauzwa wapi hizo nikazicheki.Kuna mdau ananiambia zinakita mziki wa kutisha
View attachment 2617185
Nimemuuliza nasubiri feedback pia...Zinauzwa wapi hizo nikazicheki.
Watu wananunua Bose hadi million ila so far sina hela ya mchezo kiasi hicho. Ninapenda mziki at all forms ila sijawa reckless kiasi hicho. Earphone as long as ina bass enhancement hata ikiuzwa elf 15 nanunua. Sinunui kitu kwa sifa bali kukidhi kiu yangu tu.Mkuu, unatakiwa utafute hela kwa nguvu sana..
Kama earphones za laki 5 unashangaa hivi mtu kununua, inabidi Utafute hela mzee baba, tena utafute kwelikweli.
Mfano, Sony Flagship earbuds WF1000-XM4 zinauzwa laki 7 mpaka 8 hivi.
I don't brag...lakini kwenye ulimwengu wa true audio na genuine products, Earphones za laki 5 ni kitu cha kawaida sana.
Hizo za manwenyenye sie pangu pakavu ni mwende wa adrino tuKwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.
Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.
Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.
Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! 😀View attachment 2612969
Mkuu hilo nalielewa vizuri tu niliandika kwa kutaka watu wanielewe kiwepesi. Tukianza kuvunjiana vipengele vya sound engineering utakimbia wewe maana huenda kuna mengi nayajua wewe huyafahamu.Stereo maana yake ni Two chanel audio. Sound inayokuwa played through 2 channels ndiyo Stereo sound.
Stereo maana yake SIO Mchicha/Treble.
Sijui nani alituambiaga wabongo kuwa Stereo maana yake ni mchicha.!!!
Tunakumbushana mkuu.
Unyama mwingi.Playlist
Jay z in my lifetime
Jay z anything
2pac gheto gospel
T.I get back up
Jay z on to the next one
Jadakis who is real
2pac do for love
Jay z blue magic
Coolio ganster paradise
50 centy baby by me
Jay z empire State of mind
Jay z justify my thug
Maino all above
Lil Wayne hustle Musik
View attachment 2615910
Nasema SU... Tuanze hapahapa.Mkuu hilo nalielewa vizuri tu niliandika kwa kutaka watu wanielewe kiwepesi. Tukianza kuvunjiana vipengele vya sound engineering utakimbia wewe maana huenda kuna mengi nayajua wewe huyafahamu.
Mkuu.. Tutafute Tu Hela tuache hizi sababu sababu.Watu wananunua Bose hadi million ila so far sina hela ya mchezo kiasi hicho. Ninapenda mziki at all forms ila sijawa reckless kiasi hicho. Earphone as long as ina bass enhancement hata ikiuzwa elf 15 nanunua. Sinunui kitu kwa sifa bali kukidhi kiu yangu tu.
Kununua sound ya million 4 haiwezi kuwa reckless. Hio tuko pamoja ila sio kununua kitu ambacho hakimake sense kama accessories ndogo ndogo.Mkuu.. Tutafute Tu Hela tuache hizi sababu sababu.
Kununua Earbuds za milioni sio kuwa reckless, ni kwa sababu tu hatuna hela... Tukiwa nazo tunanunua na tunaona ni kawaida tu kwa sababu tuna afford.
Sasa kwa staili hii mtu akinunua sound system ya Milion 4 si utasema ni reckless Square?
Masikini huwa tuna misemo ya kujifariji sana. TUTAFUTE HELA WAZEE...Vitu vizuri ni gharama