Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Ni mimi hpa mkuu...nazijua vzuri sana hizi zina bass ya kawaida sana na treble ndio mahali pale..kama mtu hupendi mdundo hizo zinakufaa
Kuna earphone ninazo zina mdundo mara elfu 10 ya hizo na bei yake ni efu 12 tu
🤣 Watu wanahisi earphone ikiuzwa laki ndio nzuri
 
🤣 Watu wanahisi earphone ikiuzwa laki ndio nzuri
Siyo kweli, ila inategemea na brand pamoja na ubora. Kwa mfano Apple Airpod ya elfu 10 haiwezi kuwa sawa na Original ya 600k kwa vitu vingi tu. Mimi nimenunua Redmi Buds 4pro kwa 160k najua ndio nimemaliza tena labda after 2 years mbele huko. Sasa mwingine ananunua hizo za 10k hata mara 20 ndani ya miaka miwili. Cheap is expensive sometimes
 
Siyo kweli, ila inategemea na brand pamoja na ubora. Kwa mfano Apple Airpod ya elfu 10 haiwezi kuwa sawa na Original ya 600k kwa vitu vingi tu. Mimi nimenumua Redmi Buds 4pro kwa 160k najua ndio nimemaliza tena labda after 2 years mbele huko. Sasa mwingine ananunua hizo za 10k hata mara 20 ndani ya miaka miwili. Cheap is expensive sometimes
🤣 Hahahah sio ishu kama unazitunza
 
Hiyo karaha/adhabu ya kuchaji kila masaa mawili huoni ni shida pia?

Mimi sipendi kutumia kitu, kila dakika unahofia chaji imebaki kiasi gani.

Halaf kingine, nikiona mtu kavaa earpods namuona kama bishoo hivi (mf. Kitenge)
Mimi nilisema sitokuja kununua pods na kuwaona kama malimbukeni wanatumia vitu hivyo hulu nikiwa na mawazo kama yako mavitu ya kuchaji mara kwa mara .

Baada ya kutumia nimegundua zipo vizuri sihitaji tena mawire nikivaa nahisi kama nipo New York ,kuhusu chaji sio tatizo kabisa maana mtu huwezi Kukaa masaa 10 mfulilizo non - stop unasikiliza vitu kwenye pods hata uwe senior Jobless ,mfano yangu Pro 6 inakaa masaa 4 mpk 5 ambayo mimi inanitosha sana ikiisha chaji ukiingiza kwenye jumba ni dkk 10 ishajaa ,hapo mara nyingi nasikilizia masaa mawili au matatu kisha nafocous na kazi nyingine ambazo haziitaji niwe na pods muda huo nimeweka kwenye jumba linajaa au muda wa kuswali nikistop kisikiliza mpk kumaliza inakuwa viko full hapo hakiaribiki kitu.

Tokea nimenunua mara chache sana inenitokea situation ambayo nazihitaji pods lakini chaji hazina natakiwa kuzichaji ili kuendelea na kukatisha ladha ,ndio maana sasa nataka hiyo ya 25K Oraimo lite ambayo chaji ipo nondo kuliko hii ili niwe huru completely.
 
Acha upotoshaji mkuu hiyo kitu mimi naziba masikio naenda kuchukua K/Koo features ni unyama sana ,haujatest unaponda na kufanya huu uzi kama wa kimasihara jamaa mmoja anakera wadau kila stori anasema chai .
Riff zinapiga sawa na hizo airpods mkuu
 
Kwa ulivyotumia mpk sasa chaji yake ubora upoje na inakaa kwa muda gani ?

Nitumie picha yake na unipe chimbo la kupata kama yako maana na mimi nataka brand ya Iphone ,simu nishindwe hata pods itakuwa uongo.
🤣 Babu pale chimbo mzigo uimeisha zangu zilipotea kwenye basi. Natumia zingine zinaitwa "EDIFIER" ni za mtumba brand ya kimarekani ziko na form factor ya TWS kama JBL, SAMSUNG zile TWS.

Sema zinagonga sound ya kibabe sana hakuna hata Oraimo inagusa huu umeme na zinakaa na charge more than 8 hours.
images (4).jpeg
 
Mimi sasa kipaumbele changu ni sounds Quality na charge life tu maana nasikilizia mawaidha ,video za documentary ,news ,movies ,games na calls tu ,mambo ya base hayana umuhimu mikubwa coz sifagilii miziki.
Kwahio kazi we tumia hata zile nyanga za buku buku tu.
 
🤣 Babu pale chimbo mzigo uimeisha zangu zilipotea kwenye basi. Natumia zingine zinaitwa "EDIFIER" ni za mtumba brand ya kimarekani ziko na form factor ya TWS kama JBL, SAMSUNG zile TWS.

Sema zinagonga sound ya kibabe sana hakuna hata Oraimo inagusa huu umeme na zinakaa na charge more than 8 hours.
View attachment 2726896
Tsh ngapi hii ?
 
Back
Top Bottom