Apple wanarudi walipotoka Android

Apple wanarudi walipotoka Android

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Ukitizama ulimwengu utajua hakuna kinachodumu milele duniani Kuna vitu vitakuja na kuondoka Walipotoka Apple sijui niseme kuzuri au lah [emoji3] ngoja niwaache kama walivyo ila wanapokuja ni kwenye ulimwengu wa Android.

Leo hii mtumiaji wa iphone anapata feature za Tecno [emoji16] relax kwanza teknolojia ni Yetu sote sio !!

Tunaweza sema ni Utani ila kiuwalisia Mfumo wa apple wanaoanza kuleta kwenye Simu mpya pamoja na iOS ni mifumo ya Android kabisa

Tunamuita father of customatization

Tunajua apple walijulikana sana kutokana na strong customatization limit kwenye vifaa vyao Hawampi uhuru mtumiaji kutumia anavyotaka.

Ila sasa the end become new Era [emoji4] unajua kwanini apple wanarudi Walipotoka Android
Translate
Kwenye iOS 14 waliweza kuleta built in app inayoweza kutafsiri lugha 11 kupitia mazungumzo wakati unaongea hivyo mtumiaji anaweza kutafsiri china , Germany , France ,korea nk wakati google walikua watu wa mwanzo kutumia hii mifumo kwenye simu zao kwa kuweza kutafsiri lugha nane wakati unaongea.

Widgets
Toleo jipya la iOS 16 apple kuanzia kwenye iphone na ipad kwenye home screen utaona Neno widgets. Kwani utaweza kupata taarifa kuhusu Hali ya hewa na mambo mengine mengi kabla ya hapo walikua watumiaji wa apple walikua wanaona app tu kwenye home screen.

Wakati widgets kwenye Android zilikuwepo Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 zikitoa taarifa nyingi mbalimbali kuhusu simu kupitia home screen.

App clips
Apple wameleta mfumo mpya wa kuweza ku preview app kabla uja download hivyo itakusaidia mtumiaji kabla ujalipia app unaweza kuangalia kwanza jinsi Ilivyo ikitokea umeipenda basi uta download.

Ila google wao walikua watu wa mwanzo kutuletea feature ya instant app Toka 2016 hii ni feature ambayo inamsaidia mtu kujaribu app kwenye simu kabla hajaamua kununua.

Picture in picture
Apple kwenye new pictures in picture feature wanampa uhuru mtumiaji kutizama video wakati unatumia app nyingine itamfanya mtumiaji kuhamisha video yake popote kwenye kioo chake kwa ku swipe.

Watumiaji wa Android tayari hii feature wanayo kwenye simu kwani wanaweza weka floating video au app yoyote ikiwa unataka kutumia app huku unatizama video.

Wind down mode
Hii ni feature mpya kwa watumiaji wa iOS 14 na 16 itakayoweza kumsaidia mtumiaji kuwa tayari kwa ajili ya kulala Yani utaweza ku set muda wako ambao utaki usumbufu wakati huko kwenye kikao, unataka kulala au unasoma kitu basi unaweka do not disturb mode.

Kama walivyo google mfumo huu wanaokitambo japo apple wameongezea unaweza weka shortcut for meditation or play music.

Ni kweli Apple watarudi walipotoka Android ?
 
Kwahiyo android native messaging App kuweka RCS wanaenda Apple alichofanya miaka kibao iliopita? Maana hayo mambo ya iMessages. Na pia android kuzidi kuifunga OS kila toleo anaifuata iOS au siyo? Maana siku hizi apps kwenye android kuna mafile zimepigwa pin zisiweze kuaccess.
By the way Apple amekuwa anawapa kile walaji wanachotaka mwaka hadi mwaka ndiyo maana Cyndia ilikufa kwasababu watu waliacha kujailbreak simu kutokana na zile features zilizokuwa zinawafanya wajailbreak kuwa zinaongezwa na Apple wenyewe ikafika kipindi ikaonekana haina maana
 
Tazama hii hapa utaona je apple na ios yake anakuja android au anaendelea kudevelop vyake. Nilikua na samsung note 10 plus ila bado haikua napata furaha kama nikitumia iphone,la maana kwenye android ilikua ni kudownload movie na music vitu ambavyo hata sasa kwenye iphone unafanya. Kua na iphone ya kuanzia 11 na uwe na bundle on muda wote hutojutia.
Ahsante sana
 
[emoji16][emoji16]unajua tulichokisema lakini au basi sawa Akuna shida hivi ulikua inajia kwenye iphone there is no widgets and customatization have limited ila kwa sasa wanarudi walipotoka Android wanaoanza kulegeza kamba

Mean tunakoelekea mifumo mingi ya iphone itakua kama Android [emoji2958] subiri kwanza iOS 16 itoke utaona
 
Kwahiyo android native messaging App kuweka RCS wanaenda Apple alichofanya miaka kibao iliopita? Maana hayo mambo ya iMessages. Na pia android kuzidi kuifunga OS kila toleo anaifuata iOS au siyo? Maana siku hizi apps kwenye android kuna mafile zimepigwa pin zisiweze kuaccess.
By the way Apple amekuwa anawapa kile walaji wanachotaka mwaka hadi mwaka ndiyo maana Cyndia ilikufa kwasababu watu waliacha kujailbreak simu kutokana na zile features zilizokuwa zinawafanya wajailbreak kuwa zinaongezwa na Apple wenyewe ikafika kipindi ikaonekana haina maana
[emoji3][emoji3][emoji3]relax apple wanarudi walipotoka Android [emoji2958]
 
Tazama hii hapa utaona je apple na ios yake anakuja android au anaendelea kudevelop vyake. Nilikua na samsung note 10 plus ila bado haikua napata furaha kama nikitumia iphone,la maana kwenye android ilikua ni kudownload movie na music vitu ambavyo hata sasa kwenye iphone unafanya. Kua na iphone ya kuanzia 11 na uwe na bundle on muda wote hutojutia.
Ahsante sana

Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
 
Nina ka iPhone 6s kangu apa sina shida...
 
Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Acha kujifariji. Tafta hela ununue simu za maana ufurahie maisha.

Kulinganisha Iphone 6 na Samsung S22 ni sawa na kulinganisha Vitz na Bugatti Chiron ingawa yote ni magari.

Kuna Isheeps ila wewe ni Imavi.
 
Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Tafuta hela ndugu yang mm sina s22 ila kutumia iphone 6 siwez bora niendelee kubaki na oneplus 8 pro yang na samsung s8+ (japo ya muda ila imeizid iphone 6[emoji1787][emoji1787]). Ngoja nijichange vizur nizame oneplus 9pro.

Muda si mrefu mnasitishiwa whatsapp [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
mkuu unaijua s22 au umeisikia kwa watu😅😅😅

embu muombe aliyekupa uitizame mwambie akutolee na lock.
iphone 6 ipambanishe na s5 huko maana hata s6 bado haziendani.
 
Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Akili za iSheeps kwenye moja na mbili[emoji38][emoji23]
 
Tazama hii hapa utaona je apple na ios yake anakuja android au anaendelea kudevelop vyake. Nilikua na samsung note 10 plus ila bado haikua napata furaha kama nikitumia iphone,la maana kwenye android ilikua ni kudownload movie na music vitu ambavyo hata sasa kwenye iphone unafanya. Kua na iphone ya kuanzia 11 na uwe na bundle on muda wote hutojutia.
Ahsante sana

Safi kabisa Mkuu, unajua tatizo kubwa humu Jamvini wengi wanaojifanya wanaiponda bidhaa za apple na IOS ni wale ambao hawajawahi kutumia bidhaa za apple au hawajui kutumia.
 
Back
Top Bottom