Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Ukitizama ulimwengu utajua hakuna kinachodumu milele duniani Kuna vitu vitakuja na kuondoka Walipotoka Apple sijui niseme kuzuri au lah [emoji3] ngoja niwaache kama walivyo ila wanapokuja ni kwenye ulimwengu wa Android.
Leo hii mtumiaji wa iphone anapata feature za Tecno [emoji16] relax kwanza teknolojia ni Yetu sote sio !!
Tunaweza sema ni Utani ila kiuwalisia Mfumo wa apple wanaoanza kuleta kwenye Simu mpya pamoja na iOS ni mifumo ya Android kabisa
Tunamuita father of customatization
Tunajua apple walijulikana sana kutokana na strong customatization limit kwenye vifaa vyao Hawampi uhuru mtumiaji kutumia anavyotaka.
Ila sasa the end become new Era [emoji4] unajua kwanini apple wanarudi Walipotoka Android
Translate
Kwenye iOS 14 waliweza kuleta built in app inayoweza kutafsiri lugha 11 kupitia mazungumzo wakati unaongea hivyo mtumiaji anaweza kutafsiri china , Germany , France ,korea nk wakati google walikua watu wa mwanzo kutumia hii mifumo kwenye simu zao kwa kuweza kutafsiri lugha nane wakati unaongea.
Widgets
Toleo jipya la iOS 16 apple kuanzia kwenye iphone na ipad kwenye home screen utaona Neno widgets. Kwani utaweza kupata taarifa kuhusu Hali ya hewa na mambo mengine mengi kabla ya hapo walikua watumiaji wa apple walikua wanaona app tu kwenye home screen.
Wakati widgets kwenye Android zilikuwepo Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 zikitoa taarifa nyingi mbalimbali kuhusu simu kupitia home screen.
App clips
Apple wameleta mfumo mpya wa kuweza ku preview app kabla uja download hivyo itakusaidia mtumiaji kabla ujalipia app unaweza kuangalia kwanza jinsi Ilivyo ikitokea umeipenda basi uta download.
Ila google wao walikua watu wa mwanzo kutuletea feature ya instant app Toka 2016 hii ni feature ambayo inamsaidia mtu kujaribu app kwenye simu kabla hajaamua kununua.
Picture in picture
Apple kwenye new pictures in picture feature wanampa uhuru mtumiaji kutizama video wakati unatumia app nyingine itamfanya mtumiaji kuhamisha video yake popote kwenye kioo chake kwa ku swipe.
Watumiaji wa Android tayari hii feature wanayo kwenye simu kwani wanaweza weka floating video au app yoyote ikiwa unataka kutumia app huku unatizama video.
Wind down mode
Hii ni feature mpya kwa watumiaji wa iOS 14 na 16 itakayoweza kumsaidia mtumiaji kuwa tayari kwa ajili ya kulala Yani utaweza ku set muda wako ambao utaki usumbufu wakati huko kwenye kikao, unataka kulala au unasoma kitu basi unaweka do not disturb mode.
Kama walivyo google mfumo huu wanaokitambo japo apple wameongezea unaweza weka shortcut for meditation or play music.
Ni kweli Apple watarudi walipotoka Android ?