Application Users Vs Browser Users

Umeona eeh?
Wanacompications kwa vitu ambavyo hata si vya muhimu

Sijui love,
Sijui hahaha
Eti mkuu hivi vina maanani gani[emoji3]

May mosi Melo anaachia kitu[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah aisee Wanaleta ugumu usio na faida why ? [emoji1745][emoji1745]

(Love + hahaha)Collectively huku tunaita LIKE, Kivyovyote vile huwezi ku-hahah kama huja-like( penda(love) ) Sisi wa App tumeamua tuite LIKE Maana tunaona ni kitu kile kile [emoji18][emoji18] hata hvyo unaweza ukareply kwa emoj za kucheka ("Hahah" useless Mpk Hap [emoji1787])

Inaonekana zamani emoji zilikua hazijagunduliwa kwnye keyboard ndio mana (love+hahah) zilikuep kwny kitufe cha ku-click internet cafe [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapo umemamaliza kila kitu, hizo deficiency ndio kero kwetu, may be waboreshe zaidi.
Narudia tena kusema kitu pekee kilichopo kwenye app na kwenye web akipo ni ku scroll page tu lkn vingine vyote vipo na tena kwenye web ndio vipo vingi zaidi.

Yani Mkuu we umekalia Ubishi tuu [emoji38][emoji38]
Hembu fanya kama una Clarify ubora wa web browser dhdi ya Application
.
Napoteza ATP zang tuu hapa [emoji2][emoji2]
Wewe usema umeizoea Sana Web browser kuliko Application ila sio useme Web Browser ni Bora[emoji82][emoji82]
 
Hata Mimi nadhani hivyo kuhusu emoj[emoji23][emoji23]
App[emoji1696]

1May[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me natumia vyote... Ila browser ni tamu sana kuliko hii app yao...
 
do you mean unatumia browser ya simu?
 
Kwenye app hazipo hizo...
Umemaliza kila kitu J [emoji119]

Watumiaje wa App kilio chao kikubwa kila siku ni kutopata notifications lakini hawataki kuhama huko sijui wana vitu gani vingine vya maana?

Pia sijui kama na wao wana option ya kudislike, like, love, wow!
 
Yaani mimi browser hakuna anayenishawishi kwa kweli, comment kama sijaipenda naiacha tu siyo lazima nioneshe sijaipenda.

Hivi kwanza Depal hajauona huu uzi bado, team browser yule kama namuona anavyokuja kutukejeli watumiaji wa app.
Sitaki kujibizana na wazee....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 1425217
Mbona ipo kama hivyo, kama kuna mtu huwezi kumuangalia jua ni yeye kazuia watu wasimpekue hata kwenye app hutoweza kumcheki.
Kusubscribe tread huku kinaitwa watch thread, ukiwatch utakuwa unapata notification
Hiyo naijua lakini haipo vizuri kama ilivyo ya kwenye app.
Subscribe ndio watch eeh!! Hapo nilikuwa sijajua. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…